Twaha Mwaipaya

Tunasubiri Taarifa kutoka Nairobi

Usiondoke JF
Huyo Pambalu atakuwa source, hata km sio kwa ridhaa yake..zipo dawa za ucngizi ukipewa wakati wa kuamka jambo lolote utakaloulizwa km unalifahamu utasema..!
Twaha ni mtu makini, hayuko km zombie..lazima kuna lead details zimetumiwa kumpata!
Kwa nini itokee baada ya Pambalu kukamatwa?
 
Who is Pambalu?
 
Wewe ndio mtekaji? Nyuzi zote umekomalia ni Pambalu. Yani unataka alaumiwe Pambalu kwa kukamatwa kwa Twaha. Huwa mnatafuta scape goat. Hata alipouawa Ally Kibao mlimgeuzia Kibao Johna Mnyika, kisa yeye ndio alitoa taarifa. Mnaboa sana
 
Tunasubiri Taarifa kutoka Nairobi

Usiondoke JF
Kwa taarifa nilizo nazo zisizo rasmi ni kuwa jamaa tayari yuko mikononi mwa watekaji na wako njiani kuelekea Tanzania. Wapinzani mtabaki humu mnajadili na kujadili lakini tutaendelea kuwanyukua mmoja baada ya mmoja hadi mtakapo surrender! You need to respect our lovely president Dr. Samia Suruhu Hassan mtake msitake hadi mkubali kwamba ndiye raisi wetu na alishinda uchanguzi.
KAZI NA UTU, SAMIA HADI 2030
 
Au kabanwa Pumbu hadi kasema yote.
 
Nothing lasts longer
 
Ingawa watu watabisha ila Pambalu anatoa info za walipo wanaharakati walio KE ,anatoa kwa kupigwa PINCHI ,usifanye masikhara na mateso ya polisi ,utapigwa mpaka utataja.
 
Au kabanwa Pumbu hadi kasema yote.
..sidhani, kurudi kwake kuna leta mashaka, alivukaje boarder..? mbona haijamtokea km malisa alivyofanyiwa wakati anarudi kutoka US..au ameingia kwa njia za panya..? km ni hivyo ni kweli anao ujasiri kusimama hadharani kuhutubia mkutano wa chadema arusha wakati ana jinai ya kuvuka mpaka..? Kilichomfanya akimbie, kwa sasa hakipo? Chadema wana matatizo makubwa ya kiusalama, mtu hakuwepo muda mrefu na hakuwa anasikika huko alikokwenda mnampaje trust kuambatana nae kizembe namna hiyo..? mambo madogo km haya ya usalama wenu chadema mnashindwa kuyafahamu na kupata majibu, mtaweza mambo ya nchi..? kumbe uhodari wa kuorodhesha makosa ya mwngine/ccm si kigezo kwamba mna uwezo kuyatatua..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…