..wewe ulikuwa unamsikia akiwa huko alikokimbilia? amerudije..mbona hakushikiliwa boarder km ilivyotokea kwa malisa..Ingawa watu watabisha ila Pambalu anatoa info za walipo wanaharakati walio KE ,anatoa kwa kupigwa PINCHI ,usifanye masikhara na mateso ya polisi ,utapigwa mpaka utataja.
kumkamata ni maigizo..