darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,338
- 18,417
Vyakula vimepanda bei maradufu sukari,unga,mchele na sasa maharage. Alafu wanaongeza kodi na faini maradufu mfano kodi ya majengo imepanda kwa zaidi ya asilimia 350%.
Tulikiwa tunalipa 12,000 juzi juzi wameleta karatasi ya kodi inatakiwa kulipwa 162,000/ TRA.
Hii serikali haikuwa imejiandaa/kuandaliwa kuongoza nchi kwani hata wajibu wa msingi kwa raia wake haijui.Wanachojua kupiga marufuku na (kusimamia sheria?),kupiga faini,kushinikiza uongo kuwa kweli,kukimbizana na wapinzani ndio wajibu wao na zaidi kuishi kwa raha kupitia kodi za wanyonge