Tv Zanzibar. Mawaidha mengine yapimeni

Tv Zanzibar. Mawaidha mengine yapimeni

Status
Not open for further replies.

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
254
Nilikuwa naangalia mawaidha ya ijumaa tv zanzibar yaliyorekodiwa mwaka 2008 saa 8 mchana wa leo. Sina matatizo na mawaidha yenyewe ila ujumbe mmoja ni kuwa mataifa ya kiislam hayana ikimwi kama mengine.na zaidi anasema zanzibar mnajionea wenyewe sisi waislam tupo safi kiliko Tanzania bara.Sababu Zanzibar ni ya kiislam.
Ujumbe kama huu jamii nyingine inapondwa moja kwa moja na sijui kama ni msingi mzuri wa kujenga kielewana.
Elekezeni nafsi kwenda kwa muumba kiliko kulinganisha uasi na mazingira.
Naogopa
 
"ndugu yangu, pana tatizo gani hapo? na kwani hamna ukweli kwenye kauli hii? unakuwa wapi pale mataifa ya kiislam yanavyosemwa ni ya kigaidi ? ni msingi wa kujenga kuelewana hapo?
Humu jamii forums mara ngapi tushasemwa zanzibar kwa sifa mbaya dhidi ya tanganyika?

Tusiwe double standard, na mengine tuyameze tu hivyo hivyo. kuna yenye ukweli na ya kizushi"

Nilikuwa naangalia mawaidha ya ijumaa tv zanzibar yaliyorekodiwa mwaka 2008 saa 8 mchana wa leo. Sina matatizo na mawaidha yenyewe ila ujumbe mmoja ni kuwa mataifa ya kiislam hayana ikimwi kama mengine.na zaidi anasema zanzibar mnajionea wenyewe sisi waislam tupo safi kiliko Tanzania bara.Sababu Zanzibar ni ya kiislam.
Ujumbe kama huu jamii nyingine inapondwa moja kwa moja na sijui kama ni msingi mzuri wa kujenga kielewana.
Elekezeni nafsi kwenda kwa muumba kiliko kulinganisha uasi na mazingira.
Naogopa
ya mwaka 2008!?unaleta hapa tujadiri we vp?
 
"ndugu yangu, pana tatizo gani hapo? Na kwani hamna ukweli kwenye kauli hii? Unakuwa wapi pale mataifa ya kiislam yanavyosemwa ni ya kigaidi ? Ni msingi wa kujenga kuelewana hapo?
Humu jamii forums mara ngapi tushasemwa zanzibar kwa sifa mbaya dhidi ya tanganyika?

Tusiwe double standard, na mengine tuyameze tu hivyo hivyo. Kuna yenye ukweli na ya kizushi"

umeona enhee?
 
Umetumia lugha gani mbona sio kiswahili au unazua tu kumzulia mtoaji mawaidha.
 
Nilikuwa naangalia mawaidha ya ijumaa tv zanzibar yaliyorekodiwa mwaka 2008 saa 8 mchana wa leo. Sina matatizo na mawaidha yenyewe ila ujumbe mmoja ni kuwa mataifa ya kiislam hayana ikimwi kama mengine.na zaidi anasema zanzibar mnajionea wenyewe sisi waislam tupo safi kiliko Tanzania bara.Sababu Zanzibar ni ya kiislam.
Ujumbe kama huu jamii nyingine inapondwa moja kwa moja na sijui kama ni msingi mzuri wa kujenga kielewana.
Elekezeni nafsi kwenda kwa muumba kiliko kulinganisha uasi na mazingira.
Naogopa

Uhuru wakupata habari kama hupendi u can change the chanel tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom