TV za Kenya ni za Kizalendo

TV za Kenya ni za Kizalendo

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
413
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
 
Hamia huko basi
 
Ulitaka waonyeshe nn ikiwa kwa sasa hakuna kinachoendelea zaidi ya hilo la utekaji na izo ni tv zao na tatizo lipo kwao ulitakaje labda
 
Lingetokea TZ harafu uone kama kuna TV italipoti laivu. Unakumbuka matukio mangapi yaliyolipotiwa na TV zetu laivu, nikikumbuka tukio baya la hivi karibuni la kuzama meli ya skarget hakuna TV iliyoweza kulipoti laivu shughuli za uokoaji, zaidi ya breaking newz za itv/RADIO ONE...
 
Hamia huko basi

Sina uhakika kama we ni mZalendo wa kweli na kama kwwli unaguswa na upuuzi wa baadhi ya vyombo vyetu na hasa hivi vya umma....
Swala aliloliongelea mdau ni la kweli na linagusa si swala la kujifanya una majibu mengi ya mkato kwani ni lazima kuchangia mada!
 
Umeona eeeh Huyo jamaa ameathirika na kutumwa na Nape hadi chooni ndio haya....Poor idiot
 
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!

Uko sahihi mwl.mkuu
 
congrats kwa mdau thats true our local tv hawana jipya wao matukio ya muhimu hawawezi kuonyesha live na kama wakionyesha yatakuwa yaleeee ya wasanii na ujinga mwingine acheni siasa kenya wapo fit wanaonyesha live unajua kinachoendelea ila jf kuna watu wabishi hata ukweli wao wanapinga tu.
 
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
Huo ni mtazamo wako tu Lakini waKenya hadi hii leo waQUESTION Big Suali " Vipi hao vijana waliweza kuingia na SILAHA NZITO ndani ya MOYO wa NBR haswa ndani ya soko la WESTGATE na kupitisha, kupandisha gorofaniii? Zikaweza kudumu for 3 to 4 days ? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TV ni changa la macho..... open your eyes not your MOUTH.
 
Tv za tz wangekua wanaonyesha miziki tu...refer to mabomu ya mbagala na gomz....yani km hawako tz full movies na miziki ht tbc taifa nayo ilikua hovyo hawakua na breaking news
 
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!
ujumbe wako ni mzuri ila umeharibu hapo kwa kutuambia ni king'amuzi unachotumia na kifurushi gani umelipia na kinakuwezesha kuona nini..........BRN
 
channel zote zilikesha live siku 3. Pia naona jamaa vifaa wanavyo vya kutosha na vya kisasa maana ingekuwa hapa bongo matangazo yangekuwa yanakatika kila wakati na picha mbaya. kingine cha kujifunza ni kwamba waandishi wa habari wako bega kwa bega na askari, lkn hapa kwetu wangepigwa mabomu na virungu.
 
Ulitaka waonyeshe nn ikiwa kwa sasa hakuna kinachoendelea zaidi ya hilo la utekaji na izo ni tv zao na tatizo lipo kwao ulitakaje labda

Mjomba ni kweli anachokiongea mtoa mada..inamana kwetu hayajawahi kutokea maafa then unashuhudia vipindi vya tv na radio vikiendelea kama kawa?
 
Ninatumia king'amuzi cha Zuku, ambacho kifurushi nilicholipia kinaniwezesha kuona Citizen TV,QTV Kenya, na NTV. Tunafahamu kuwa Kenya wana janga la uvamizi wa Westgate Mall. Jambo lililonistaajabisha ni Uzalendo wa vituo hivi vya TV kuripoti janga hili kwa muda wa masaa zaidi ya 12 wakiwa live. Pia wameweza kuwahamasisha maelfu ya wakenya kuchangia damu kwa majeruhi wa shambulio. Hii ni tofauti sana kwa TV zetu za kibongo ambazo hazitoi taarifa kwa majanga ya dharura kama mafuriko, nk live. Wao kutwa kupiga bongo fleva na taarabu...!

kama linii???
 
Huo ni mtazamo wako tu Lakini waKenya hadi hii leo waQUESTION Big Suali " Vipi hao vijana waliweza kuingia na SILAHA NZITO ndani ya MOYO wa NBR haswa ndani ya soko la WESTGATE na kupitisha, kupandisha gorofaniii? Zikaweza kudumu for 3 to 4 days ? !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! TV ni changa la macho..... open your eyes not your MOUTH.

kula 100%
 
Kwan kwenye kuzama meli tbc ilikua inarusha matangazo gani??tress back uone hyo national tv majanga yake
Nakusaidia mkuu,ilikuwa na taarabu na kina mzee yusuf walikuwa wanakata viuno balaa huku watu wamezama baharini wanaogelea na magodoro!!!shame on you tibisisiem!!
 
Back
Top Bottom