Tv za flat eti majanga?

Lamchina

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
240
Reaction score
120
Wadau kuna tetesi kuwa TV za flat za LED za kampuni za LG na SUMSUNG hasa za Korea huwa zinarekodi picha na sauti unavyotumia nyumbani. Wanasema kuwa hukusanya taarifa za wadumiaji na kurudisha viwandani mwao. Na baadhi ya watu wameeshaanza kulalamika.

Pia wanasema ni vigumu sana kugundua sensor inayochukua picha na sauti kwenye TV hizo?
Eti kuna ukweli wowote kuhusiana na tetesi hizi?
Karibuni kwa michango yenu
 
kama unahofia usiconect na internet maana ndio itayopeleka taarifa zako huko.
 
Hakuna kitu kama hicho..
.
huwa zina record channel na vipind ulivyokuwa unaangalia, NA HATA KAMA ULICHOMEKA USB inavichukua pia nA ku 2MA kwenye SERVER ZAO
. ila hazina kitu kama hcho kwamba zina record sauti n.k za mtumiaji hakuna kabisa ishu kama hyo...
.
.LG walikili suala hili
.
.
 
Licha ya kwamba udukuzi umekuwa wimbo kila sehemu, binafsi sijapata habari za uhakika kuhusu hili
 
Hii issue ilishajadiliwa kama wiki tatu zilizopita jukwaa hili na ilionekana kuwa zinakusanya takwimu za channel ambazo mtumiaji hupenda kuziangalia zaidi na sio kama unavyodai
 

Hata wakichukua kwani wewe una mazungumzo gani ya maana sana? unless uwe gaidi
 
Wanatafuta wacheza porn, watu wenye vigongo vyao. Vibamia mnawajazia tu server zao...
 
jamani hapo tunazungumzia Smart TV? au flat TV yoyote ya samsung na LG. kwa sababu huwezikuwa na TV ya kawaida halafu ikatuma taarifa. wakati hakuna Internet wala data transmission capability yoyote, TV inakuwa na receiver peke yake...
 
iyo ni kweli na jamaa wameapologise kwa hilo wakidai nia yao haikuwa mbaya bali ni kuwajua wateja wake ili wa-improve products zao kulingana wateja wanavopendelea..
 
Heeee naangaliaga nikiwa kama nilivyozaliwa, sasa unataka kanambia?πŸ™πŸ˜€πŸ™πŸ˜€
 
Kama ni kweli bas walishanirekodi bila kunilipa aisee!
 
Heeee naangaliaga nikiwa kama nilivyozaliwa, sasa unataka kanambia?πŸ™πŸ˜€πŸ™πŸ˜€
yeroiiiiii watakutumia ujumbe ukawatembelee kule kwao hahahahaaaaa
 
Kipenda roho, hula nyama mbichi. Kuna dada juzijuzi kaonja Mpingo wa kikwelikweli kachanganyikiwa na kaenda kwa Wadada wazoefu wa Mipingo na kauliza, hivi amerukwa akili au ni kawaida. Chezea mipingo ya ukweli wewe.

Ila mwisho wa siku, ni kama nilivyoandika mwanzo. Wapenda vibamia wanasema, dege kubwa haliruki masafa marefu au haliruki kabisa. Sijui kuna ukweli? Hiyo naawachia akina Dada.

BTW: Mpenzi Smile, nikutakie heri za Mwaka mpya 2014 uwe wa mafanikio mema na afya tele kamaq Post za MMU.
Ihiiiiiiii. ....vibamia vitamin we we.kwanza huchakai huku
 

Ahahaaaa Leo nipo off mood ningekuambia kitu kizuri
 
Lohhh, pole sana. Kama vipi wee andika hata kesho, ila iwe PM, hahahaaaa. Ngoja niwahi kwenye Mkutano wa jioni kumalizia Vigongo vyetu vya Xmas na Nyama mwitu. SIKONGE raha bana........ Kilimo kitajibeba πŸ™‚
Ahahaaaa Leo nipo off mood ningekuambia kitu kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…