JamiiForum bwana!mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
nilidoea sana misosi ya watu enzi zangu najifanya fundi tv kutoa marangi hayo kwa sumaku na ku search station za tv, kurekebisha antena za chadema... daah! analojia banamkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Realy???mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Kivipi mkuu bado cjakusomamkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Mkuu, hyo sumaku utapitishapitisha juu wakati screen iko ON au OFF..?mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Wakati ipo onMkuu, hyo sumaku utapitishapitisha juu wakati screen iko ON au OFF..?
Eh.. Kweli lkn mkuu, nisije nikapigwa na shot Aise.Wakati ipo on