TV yangu haiwaki tatizo litakuwa nini? Naomba nipewe ABC kabla sijapigwa na fundi

Poleni na mjukumu
Nimeiwasha tv wakati naamka nikaona inaonyesha mwanga kwa mbali sana kwenye kioo na maneno ya kampuni ya tv yanasomeka kwa mbali tatizo ni nini?
Tv aina ya Homebase ina miaka 3.
Natanguliza shukrani.
Pole mkuu, hapo itakuwa mikanda ya taa(LED strips) imeungua ndani ya tv yako.
Nenda kwa fundi atakubadilishia.
 
MREJESHO WAKUU,!!
Kesho naleta mrejesho hapa
Ni kweli wakuu,
nimenunu taa zote 12 ingawa iliungua moja.
Fundi kanifanyia 50000 taa zote
Ufundi 25000.
Daa haya matv afadhari ya zile za chogo.
Wadau au nimeibiwa
 
Poleni na majukumu

Nimeiwasha tv wakati naamka nikaona inaonesha mwanga kwa mbali sana kwenye kioo na maneno ya kampuni ya tv yanasomeka kwa mbali tatizo ni nini?

Tv aina ya Homebase ina miaka 3.

Natanguliza shukrani.
Kama ni flat tv
Nyingi display zake zinawashwa na Diodes ambazo zipo kwenye mfumo wa taa au bulb (light emmiting diodes) ambazo zipo attached in serries means ikiungua moja flow ya current nzima inakufa so ni ishu ya kupima iliyokufa unabadirisha au la unaunga waya ili kurudisha ile chain.
Kama ni TV ya chogo ongeza focus kwenye FBT (FlyBack Transformer) inaweza kukusaidia kugundua kama IC ya Vertical kuna shida kwa kuonyesha mstari wa mwanga uliolala horizontary.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…