Ninataka kununua TV. Nimeenda dukani nikiwa nataka kununua brand new TV iwe Hisense, Samsung, LG, Alitop, Allyons etc (sikuwa na choice nilijipanga kwa yoyote ile).
Nikiwa njiani, nikakutana na jamaa yangu ambaye nilisoma nae siku nyingi huko sekondari. Katika kusalimiana nikamueleza jambo langu, ndipo akaniambia, achana na brand new TV. Mimi nauza Used TV kutoka UK. Akanishawishi sana. Nikamjibu kuwa ngoja nikafanye window shopping then nitafikia uamuzi.
Swali langu kwenu wadau, una choice mbili. Used TV nzima kabisa na brand new TV nzima kabisa, utaenda na ipi?
βNitaenda na mpya, achana na used.
ndipo akaniambia, achana na brand new TV. Mimi nauza Used TV kutoka UK. Akanishawishi sana.
Asanteni wadau wote. Unajua sometimes ni bora uoneshe ujinga wako, utasaidiwa kuliko kujidai unajua.Nitaenda na mpya, achana na used.
UsedUsed TV nzima kabisa na brand new TV nzima kabisa, utaenda na ipi?
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadaeNinataka kununua TV. Nimeenda dukani nikiwa nataka kununua brand new TV iwe Hisense, Samsung, LG, Alitop, Allyons etc (sikuwa na choice nilijipanga kwa yoyote ile).
Nikiwa njiani, nikakutana na jamaa yangu ambaye nilisoma nae siku nyingi huko sekondari. Katika kusalimiana nikamueleza jambo langu, ndipo akaniambia, achana na brand new TV. Mimi nauza Used TV kutoka UK. Akanishawishi sana. Nikamjibu kuwa ngoja nikafanye window shopping then nitafikia uamuzi.
Swali langu kwenu wadau, una choice mbili. Used TV nzima kabisa na brand new TV nzima kabisa, utaenda na ipi?
Mbna mm nauza hisense hizo zote Hapa kkoo na Wala sijawahi pata Complains yyte na hizo used z huko wapi sijui asijaribu nyingi hua zishapigwa spana na zinakula umeme hatariepuka brand inayoitwa
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadae
wachache watakuelewaepuka brand inayoitwa
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadae
Ukipata Sony yenyewe hutajutiaIpi ni smart TV nzuri , hisense, LG, Samsung au Sony. Naomba msaada wa mawazo kwa wajuzi wa hivi vifaa.
π π π ina shida gani? Nilitumia Tv yake kama mwaka. Sikuona baya la kutisha.epuka brand inayoitwa
Epuka chochote kinachoitwa HISENSE. Me, my relative and friends got very bad experience with it. Utanikumbuka baadae
Epuka kitu yebo yebo, star X wako wapi kwa sasa mkuuπ π π ina shida gani? Nilitumia Tv yake kama mwaka. Sikuona baya la kutisha.
Ila friji zake ni kama hazihitaji heka heka sana
Smart ya 43 wanasimamia kiasi gani kwa dsm au zenjUkipata Sony yenyewe hutajutia
Sijui, sijawahi watumia. Ila Hisense niliitumia.Epuka kitu yebo yebo, star X wako wapi kwa sasa mkuu