Sisi ubunifu hakuna kabisa. Watu utakuta wanasimuliana kilichotokea kwenye sijui 24, sijui CSI Miami, Law and Order, Sex and the City....Marekani inatesa bana acha tu...sijui BET, MTV, Oscars, Emmys,...sijui mieleka ya WWE na Vince McMahon.......shit.:becky::becky:
haujanikwaza. ila sisi tunajifunza mengi zaidi ya burudani...ni kama darasa fulani hivi...kupata elimu ya maisha,mapenzi na madhara ya kulazimisha kupendwa.....umaskini na shida zake etc..za kibongo nzuri ila hazijafikia level hiyo ya wenzetu...unakuta mtunzi ndio director,steling,editor,make up...yaani inaboa kabla haijaanza ila wapo wabongo wanaojitahidiAsante faithful nisamee kama nimekukwaza ila uhuru wangu wakatiba nikaileta hapa kwa msaada wawatu wa marekani!!
ni kweli kabisa, hebu angalia ile wanayoweka TBC1 kila j5 inaitwaje sijui, ni ya 30min lkn matangazo wanyoweka ni pasu kwa pasu unakuta kamchezo ni kama ka 10 min tu! by the way hizo tamthilia za kina marichui na miranda haziwekwi siku nzima ni kwa 45min to 1hr per day.Wajameni let us b honesty movie za kibongo hazina mnato,theme haileweki,hakuna script,hazina mbele wala nyuma...niacheni niangalie mexican soaps kama dont mess with an angel,burden of guilt,saborati na hidden passion coz zinabamba kusema kweli...anaetaka ngoma za asili afungulie TBC Taifa.
Kinachowaponza ni vya bure na bei rahisi. Kumbe wangeweza kulipia gharama kubwa kwa michezo ya ukweli halafu wangelipia kupitia matangazo. Hiyo michezo mingi ya miaka zaidi ya 20 iliyopita
Wewe nawe uache uongo, ni tamthilai gani ukiacha Isidingo ni ya miaka hata mitano tu iliyopita? na hapa msiziseme TV station zaq bongo tu, mbona hata TV station za nchi nyingine wanaonesha tamthilia hizihizi, mfano My TV Africa wanaonesha karibia kila tamthilia inaoonekana Bongo, MuVi TV ya Zambia the same, sasa ubaya uko wapi. Kwa kuangalia tamthilia hizi watu wanajifunza pia tamaduni za nchi na mabara mengine, na kwa jinsi hii ndio watu huendelea ( I mean kwa kujifunza toka kwa wengine)!.
mimi nadhani sio suala la kuiga tamaduni bali kujifunza tamaduni na maisha ya watu wambali kumbuka kuna wabongo ambao hawajawahi kufika hata hapo nairobi so wanajifunza maisha ya watu wengine mbaali duniani...utagundua mengi mazuri ya kujifuza pia utagundua kumbe shida za wanadamu zinafanana bila kujali kama ni wazungu au waswahili...Katika utamaduni umeruka frequency kilembwe maana tamaduni zao bora za mfaransa zina staa!!!Yani hutoke huku ukaige tamaduni ya sao pal,argentina brasil,etc??:confused2::mad2: