bwabwa umerudi?Tacky tacky tacky
We chok.omaji naona K yako ya mgongoni inakuwasha eeh? ni PM turekebishe.bwabwa umerudi?
bwahahahaha mtoka kubaya weye.....nasikia mna share lile changudoa faizafoxy na moderatorWe chok.omaji naona K yako ya mgongoni inakuwasha eeh? ni PM turekebishe.
Siezi kula K ya Ajuza Magamba asilan abadan hata nkiekezewa binduki kichwanibwahahahaha mtoka kubaya weye.....nasikia mna share lile changudoa faizafoxy na moderator
Yeahhh hiyo ndo nlikua naongelea!Kesho ntajaribu kuangalia hizo nyingine basi nionje ladha ya kipindi!!
Nwy ukitaka kushiriki unafanyaje?!
Rogart kazi yako ni nzuri ,hasa nikiiangalia kwa upeo wa siku za mbeleni,Naona utafanya kazi maridhawa kabisa-WELL DONE!! Ila Artist design ya studio yako inatuacha hoi sana!!Hizo impression haziendani na mvuto wa kile unachotuonyesha.Hebu jaribu kupata studio nzuri zaidi.Wale jamaa wa Benchmark najua wana studio za kisasa kabisa,Pamoja na kwamba ndo umeanza kijasiria mali pia jaribu ku team Up na watu wazoefu zaidi wanaweza kukupiga tafu mwanangu ukatoka kiukweli kweli. BIG UP MY BROTHER is a good try keep It Up!
mi nimewahi kuiona ka mara moja tu! Sio mbaya is a good start, ila kuna mambo fulani unabidi urekebishe kama aina ya maswali yawe open questions ila tricky ili kuminimize guessing mengine ni usomaji wa maswali wale participants wanatakiwa kusoma maswali from screen ambayo juu yake inakua na camera same as kwa mtangazaji asishike karatasi and some time u've to include few audience for applause na vitu ka hivyo. I like those shows saaana kama utakuwa interested niko tayari kuaandaa maswali ambayo ni entertaining, simple, and logic which measures knowledge for free ila ni wewe tu kusema yatoke ktk mfumo upi na ya mlengo upi nina ka xperience kidooogo ka quiz and ans reality shows nimeparticipate zain african challenges tanzania qualfiers hadi tournament Uganda as a player and as a coach
nafkiri pia mfumo wa mchezo unaweza ukaupanga upya hebu jaribu kuangalia series za reality shows za questions and answers like whowants to be a millionaire, weakest link, zain african challenges na temptatio Nigeria they will give you many different ideas kifanye kipindi chako kibambe na kiwe hot si bongo tu hadi East Africa uone ka multi choice hawatakutafta otherwise good luck comrade