dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Wamekuwa kama watu wanaojisaidia Vichakani...Maadui wa Demokrasia hadi leo wanajitetea

Wanajua ila hata wakisema haisaidii kwani kila uchaguzi wezi hubadiri mbinu!Mag3, kwanini Lowassa and co hataki kuzungumzia jinsi walivyoibiwa kura ili watu waelewe? Niliona hata alipohojiwa na Tido akaulizwa swali juu ya uchaguzi aling'aka na kusema waache kutonesha vidonda! BTW Mimi naamini uchaguzi wa Tanzania sio huru na kuna wizi mwingi hutokea lakini bado nashangaa ni kwanini wanaoibiwa hata siku moja hawajaonyesha waliibiwaje!
1. Ina maana na wao hawajui wanavyoibiwa bali ni hisia tu?
2. Kama wanajua kwanini inakuwa vigumu kuelezea walivyoibiwa ili na wananchi wakajua loopholes zilizopo na uchaguzi mwingine wazizibe?
Ningetamani sana wewe ungekuwa Lowassa unijibu haya maswali, lakini hata hivyo kama unaweza kunijibu nitashukuru!
Watabaruku
Macho_Mdiliko.
Wanabodi,
Hii ni TV Program Alert, ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi, inashiriki katika maonyesho ya kilimo ya Nane Nane katika uwanja wa Mwl. J.K Nyerere mjini Morogoro.
Ushiriki huo wa Tume ya Uchaguzi kwenye Maonyesho, ni fursa nzuri kwa wale wote wenye madukuduku kuhusu Tume kama ni tume huru, na uchaguzi, kama ulikuwa huru na wa haki.
Kwa vile sii wote wataweza kutembelea banda hilo huko Morogoro, kwa faida ya wengi, nimetembelea banda hilo, na nitarusha vipindi maalum vya banda hilo ndani ya Nane Nane na PPR.
Leo Waziri Mkuu ametembelea banda la Tume, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Makamisha Mary Longway na Athina Omari, pamoja na msimamizi mbobezi, Spora Liana, watazungumzia uchaguzi uliopita.
Usikose kuangalia mfululizo wa vipindi vya Tume ya Uchaguzi kwenye Maonyesho ya Nane Nane, kipindi cha kwanza kinaanza leo saa 1:00-1:30 Star TV.
Mkuu Pasco, na Jecha Salim Jecha wa ZEC atakuepo???
Kesho ni Channel Ten, keshokutwa ITV kisha TBC.
Karibuni msikie na kushuhudia jinsi ambavyo huwezi kudanganya matokeo ya uchaguzi!, msidanganywe na viongozi wa vyama kuhusu bao la mkono!, hakuna kitu kama hicho!.
Paskali
Brother your words rhyme like poetry.Kama huamini ikusaidie nini
Kamuapishe unae muamini
Wanabodi,
Hii ni TV Program Alert, ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi, inashiriki katika maonyesho ya kilimo ya Nane Nane katika uwanja wa Mwl. J.K Nyerere mjini Morogoro.
Ushiriki huo wa Tume ya Uchaguzi kwenye Maonyesho, ni fursa nzuri kwa wale wote wenye madukuduku kuhusu Tume kama ni tume huru, na uchaguzi, kama ulikuwa huru na wa haki.
Kwa vile sii wote wataweza kutembelea banda hilo huko Morogoro, kwa faida ya wengi, nimetembelea banda hilo, na nitarusha vipindi maalum vya banda hilo ndani ya Nane Nane na PPR.
Leo Waziri Mkuu ametembelea banda la Tume, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva, Makamisha Mary Longway na Athina Omari, pamoja na msimamizi mbobezi, Spora Liana, watazungumzia uchaguzi uliopita.
Usikose kuangalia mfululizo wa vipindi vya Tume ya Uchaguzi kwenye Maonyesho ya Nane Nane, kipindi cha kwanza kinaanza leo saa 1:00-1:30 Star TV.
Kesho ni Channel Ten, keshokutwa ITV kisha TBC.
Karibuni msikie na kushuhudia jinsi ambavyo huwezi kudanganya matokeo ya uchaguzi!, msidanganywe na viongozi wa vyama kuhusu bao la mkono!, hakuna kitu kama hicho!.
Paskali
Demokrasia unayoijua wewe ni Chadema kushika madaraka? Au ulikuwa unakagua kila kura kabla haijawekwa kwenye box? Kukiri kushindwa nayo ni demokrasia. Acha porojo.Maadui wa Demokrasia hadi leo wanajitetea
Kusoma hujui...... Ok!Sasa naanza kuamini Magufuli hakushinda kihalali...huu utetezi si bure. Mizuka ya udanganyifu haitamwacha Lubuva apumzike kwa amani...na bado.
Usisahau na uchaguzi wa marudio wa Zanzibar
Sasa naanza kuamini Magufuli hakushinda kihalali...huu utetezi si bure. Mizuka ya udanganyifu haitamwacha Lubuva apumzike kwa amani...na bado.
Usitoe povu ni uhuru wa maoniKama huamini ikusaidie nini
Kamuapishe unae muamini
Mi huwa nawashangaa sana mnapoishia kutupayukia kuwa ni fisadi halafu hamchukui hatua huko ni kokosa hoja na kutoitendea haki nchi!Nyie ndio maadui kwa kupotosha watu, eti tume emechakachua wakati kosa mlilolifanya ni kumkumbatia fisadi.
Watu hawajachagua hoja. wamechagua mtu. hoja hazingii kwenye sanduku la kulaWao wenyewe wanajua walishindwa
Huwezi kula matapishi yako ukaonekana mzima
Lazima upelekwe kupimwa.
Watanzania wanalifahamu hilo
Uchaguzi ule ulijawa na mihemuko na mbwembwe lakini kwa uhalisia
Upinzani haukuwa na hoja za maana kuchaguliwa
Kama kudanganyika mi nshadanganyika. niache hivyo hivyo. sina haja na huo ukweliWanabodi,