mareeTZ
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 171
- 181
Tv ya Sony nchi 14 ndogo nzuri kwa kuweka chumbani uondokane na kugombania tv kubwa ya sebuleni. au kwa vijana wanaoanza maisha ghetto. TV hii siyo flat screen. Ni zile za kawaida.
Bei elfu 60 napatikana Dar. Mteja ukinunua nakuletea hadi ulipo ndani ya dar.
Nicheki 0719 682352
Bei elfu 60 napatikana Dar. Mteja ukinunua nakuletea hadi ulipo ndani ya dar.
Nicheki 0719 682352