TV Imaan wangia mkataba na StarTimes kurushiwa matangazo yao

Da ni hatari ilioje..itaeneza uchochezi mara mbili ya Redio kinala wa uchochezi Radio imaan uchochezi bila mipaka

Halafu mtu.akuwa anatafuta mume kwa nguvu utamjua kwa maneno yake tu!

Kijana huo uliberali peleka kwenye hizo paroko zenu! Huko ndiko kwenye hatari! Sio kwenye redio.
 
Inshallah habari njema hizi walwahii...
Waje na huku Azam tv tulikokimbilia baada ya kuona star times kinasumbua.

Nyamadyaki Azam Tv ni satellite Tv, so unaweza kui-search kwa kutumia frequency ulizopewa (Satellite...Intelsat 906 64 E, Frequency...4069, Symbol Rate...2500, Polarization...Vertical)
 
Wanaukumbi.

TV Imaan tayari imefanya mkataba na StarTimes ili kurushiwa matangazo yake kwa mikoa sita.

Mikoa hiyo ni Dodoma, Morogoro, Arusha, Mwanza, Mbeya, Mwanza.

Mkataba huo utagharimu Milioni Mia Mbili ishirini na tatu na laki nane, 223,800,000/= kwa mwaka.

Mikoa mingine wanaweza kuipata kwa njia ya Satelite.

Satellite...Intelsat 906 64 E

Frequency...4069

Symbol Rate...2500

Polarization...Vertical

Karibu sana TV Imaan elimu kwa Umma.

Hivi kumbe biashara nzuri hii!
Hebu nisaidie kujua,hiyo hela analipwa nani,Startimes au wamiliki wa tv station(imaan tv)?
 
Hivi kumbe biashara nzuri hii!
Hebu nisaidie kujua,hiyo hela analipwa nani,Startimes au wamiliki wa tv station(imaan tv)?
Hizo pesa wanalipwa StarTimes na Imaan TV.
 
Hizo pesa wanalipwa StarTimes na Imaan TV.

Ayaah..huu wizi sasa!
Vipi kwa mfano kama hizi tv za kidini ambazo kimsingi hazifanyi biashara?
Hivi kumbe hii digitali inauma,eh!
 
Ayaah..huu wizi sasa!
Vipi kwa mfano kama hizi tv za kidini ambazo kimsingi hazifanyi biashara?
Hivi kumbe hii digitali inauma,eh!
Wizi gani tena unaouzumguzia, tv za dini mbona zinafanya biashara.
 
Wizi gani tena unaouzumguzia, tv za dini mbona zinafanya biashara.

Ninaona kama ni mzigo kwa tv ambayo pengine haitegemei vitu kama matangazo ya biashara ktk kujiendesha.Hilo tozo wanacompansate vipi?Nilivyokuwa nafikiri ni kwamba pengine tv hizi za kidini zinarushiwa matangazo yao free of charge.
 
Back
Top Bottom