andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,006
Hili ni janga
wewe mbona hupendi ya'juj, ma'juj na dajjal wapate ilm?
Hili ni janga
Kafir hakusumbui wakati umeenda kufanya biashara na kafiri?
Da ni hatari ilioje..itaeneza uchochezi mara mbili ya Redio kinala wa uchochezi Radio imaan uchochezi bila mipaka
Inshallah habari njema hizi walwahii...
Waje na huku Azam tv tulikokimbilia baada ya kuona star times kinasumbua.
Da ni hatari ilioje..itaeneza uchochezi mara mbili ya Redio kinala wa uchochezi Radio imaan uchochezi bila mipaka
ka ktv kenyewe wala hata hakana mambo ya maana ni watu wanalialia tu..
Wanaukumbi.
TV Imaan tayari imefanya mkataba na StarTimes ili kurushiwa matangazo yake kwa mikoa sita.
Mikoa hiyo ni Dodoma, Morogoro, Arusha, Mwanza, Mbeya, Mwanza.
Mkataba huo utagharimu Milioni Mia Mbili ishirini na tatu na laki nane, 223,800,000/= kwa mwaka.
Mikoa mingine wanaweza kuipata kwa njia ya Satelite.
Satellite...Intelsat 906 64 E
Frequency...4069
Symbol Rate...2500
Polarization...Vertical
Karibu sana TV Imaan elimu kwa Umma.
Hizo pesa wanalipwa StarTimes na Imaan TV.
Wizi gani tena unaouzumguzia, tv za dini mbona zinafanya biashara.