TV, friji na music system vinauzwa

TV, friji na music system vinauzwa

TV ya nchi 32,friji na music system vinauzwa,vyote ni LG,viko na resiti zake na Vina miezi miwili toka vinunuliwe... Kwa mawasiliano zaidi piga 0679059655. Kwa picha whatsap njoo kwenye namba hii
0717939480
Mkuuu mbona bei ulizoandika na bei tunazotajiwa tukipiga simu ni tofauti??? Bei zimepanda maradufu[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
We unataka picha unataka bidhaa mkuu
Hovyo kabisa.

Wewe umeiba vitu kwa shemeji yako ulipokua unakaa sasa unataka uviuze kisiri siri maana unajua ukiweka tu picha yake humu labda yako humu ataviona.

Rudisha vitu vya wizi ulivyoiba.
 
Mambo yanaharibika kila kukicha...watu wengi sana wanakubwa na msukosuko wa kiuchumi.
Nimejionea mwenyewe haya mambo, siku hizi watu wanauza sana vitu vyo vya ndani ili kutatua matatizo yaanayowakabili.
Ni ujinga huo. Utauza vitu vingapi? Vikiisha vyote?? Matatizo yatakua yameisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom