Jamani wadau humu ndani naombeni mnaojua mnisadie nina tv sony flat screen nch 40 tokea juz nimeona mabadiliko inaonyesha picha mbil mbili mfano neno itv linaonekana mara 2 kwenye creen,yaan kunakuwa kama kuna mawimbi fulani cjajua tatzo nini naombeni mnaojua au mliokwisha pata matatzo haya mnisaidie...mana nafkiria hapa celewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app