Kwa bajeti ya 300,000 - 350,000 naweza kupata flat screen inchi 32?

Mlolongo

JF-Expert Member
Jul 4, 2019
3,273
5,893
Mfukoni nina 300,000/=.

Nikijipiga sana, naweza ongeza ikafika 350,000/=.

Nahitaji flat screen inchi 32, naombeni msaada wa vitu viwili:

1. kwa bajeti hiyo nitapata TV ya inchi 32?
2. kama nitapata nichukue brand gani?

Kama kuna anaeweza kunielekeza na duka kabisa nikaenda nikachukua itakua poa.
 
takataka una maana gani, hazifai? zinawahi kufa? hazina HD?

kwa 32" utapata takataka za kichina izo nilizotaja na nduguze, na sio decent flat TV,

wanaziita HD, ila sio true HD, jiongeze kama 200k uchukue Hisense Smart 32" hutajutia

kizuri gharama mkuu, rahisi ghali
 
Mfukoni nina 300,000/=.

Nikijipiga sana, naweza ongeza ikafika 350,000/=.

Nahitaji flat screen inchi 32, naombeni msaada wa vitu viwili:

1. kwa bajeti hiyo nitapata TV ya inchi 32?
2. kama nitapata nichukue brand gani?

Kama kuna anaeweza kunielekeza na duka kabisa nikaenda nikachukua itakua poa.

350,000/= used from UK unapata smart 4K bila shida yyte iwe Samsung LG kwa mpya ujiongze kdg
 
350,000/= used from UK unapata smart 4K bila shida yyte iwe Samsung LG kwa mpya ujiongze kdg
Ambayo sio smart na 4k ila iwe UHD zina range kwenye Tshs. Ngapi kwa brand hizo used na brandnew?
 
Chagua kati ya Star X na Hisense ...

Hiyo ouling labda kama unataka kufanyia biashara za kuuza cd zilizotafsiriwa nilipita

maeneo wapo wengi naona wanazipenda sana ila zinaonyesha mpauko sanaaa
 
Back
Top Bottom