samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,269
Mkuu model yake ni PS50A456P2DMkuu model ni muhimu, tuijue tuangalie specs zake then ndio itajulikana kama inaweza ama la. Ila kwa haraka haraka haiwezekani kula umeme mwingi hivyo.
assumption is not allowed! you should provide a technical answer...Tatizo ni ww,unatumia mda mwingi kuangalia hiyo tv maana ni mpya.Pia Unaonekana unaishi ktk nyumba za kupanga so ushindani wa matumizi ya umeme ni wa Kasi zaidi
Mkuu nilishatoa angalizo kwenye uzi pale chini kabisa tafadhali pitia usome vizuriSasa hutaki ile umeme, iwekee mchemsho basi
Kumjibu mjinga Mara zote kunahitaji busara sana Ngoja Nitumie busaraTatizo ni ww,unatumia mda mwingi kuangalia hiyo tv maana ni mpya.Pia Unaonekana unaishi ktk nyumba za kupanga so ushindani wa matumizi ya umeme ni wa Kasi zaidi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sasa hutaki ile umeme, iwekee mchemsho basi
Dah kama nilivyofikiria ni kitu cha plasma, hazitengenezwi tena hizo mkuu na wamekukamata. Ukiiwasha matumizi ya kawaida inakula 330 watts hivyo haifiki hata masaa 3 unit moja imekata.Mkuu model yake ni PS50A456P2D
Ahsanteni mkuu be blessed!Dah kama nilivyofikiria ni kitu cha plasma, hazitengenezwi tena hizo mkuu na wamekukamata. Ukiiwasha matumizi ya kawaida inakula 330 watts hivyo haifiki hata masaa 3 unit moja imekata.
Ushauri wangu irudishe ikiwezekana ongeza hela tafuta tv ya led,
Pia hizo tv ni bei rahisi sana, zinakuwa hadi laki 6 hadi 8 kwa hio 50 inch, na kioo chake ni 720p ambacho sio kizuri kwa ukubwa huo,
Hicho Ndio nilisahau mkuuUlitakiwa uangalie itakula umeme kiasi gani kwa saa kabla ya kununua!
tuma model nayo tuiangalie, angalia nyuma ya tv utaonamkuu mkwawa miye pia nina mdubwasha THOMSON (TV) HAUNA CHOGO wenyewe pekee ukiuwasha kwa siku ynakula hadi unit 6 kwa muda wa masaa 2tu
umeme hauhusiani na brand bali technology iliotumika hasa hasa aina ya kioo, unafkiri TV ya rising ya plasma itatumia umeme mdogo kushinda LED ya samsung? vitu vyengine kama wifi, speaker kubwa, smart features mbali mbali, 3D, etc vinaweza sababisha tv ile zaidi umemeWakuu kwa flat mi naona Rising wako vzur umeme unatumia kdogo sana, display iko vizur picha iko quality vizur mi naona
so unamaanisha watu kwa ulimwengu wa sasa ni vizuri watumie led na si lcd?umeme hauhusiani na brand bali technology iliotumika hasa hasa aina ya kioo, unafkiri TV ya rising ya plasma itatumia umeme mdogo kushinda LED ya samsung? vitu vyengine kama wifi, speaker kubwa, smart features mbali mbali, 3D, etc vinaweza sababisha tv ile zaidi umeme