Tv chanel za bure olympic games

Tv chanel za bure olympic games

Jungumawe

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2009
Posts
245
Reaction score
74
Natafuta mwenye kufahamu free tv zinaonyesha michezo ya olympic 2012 msaada
 
ATN ya Tanzania kuanzia saa 3 usiku.
 
Kama unatumia king'amuzi cha Startimes jaribu KBC, it's not Live though.
 
CCTV-5 (sports), inapatikana online kupitia TVU. ingia google na utafute software ya TVU, download then run.
 
Hiyo Al jazeera 3 mpk 12 naipataje???nipeni fundi aje aniwekee
 
Kiburudisho thanks ila hiyo decoder ya Abudhabi sport inapatikana wapi tanzania??
 
startimes pumbavu sana nyie,chanel zote hakuna inayorusha olimpc
 
Tafuta watu wa satellite cables watakuunganishia! Kwa mfano huku Mwanza kuna watu wa Barmedas wanaunga hizo cables na unalipia kwa mwezi!
 
Al-jazeera kuanzia channel 3 mpaka 12
hapa unaongelea Aljezeera ipi??coz kuna Aljazzera Arabic, English na Sport...kama ni English wewe ni muongo coz saa tatu usiku huwa ni news hour
 
Tafuta watu wa satellite cables watakuunganishia! Kwa mfano huku Mwanza kuna watu wa Barmedas wanaunga hizo cables na unalipia kwa mwezi!

Mkuu unanikumbusha mbali sana.enzi hizo niko Mwanza suala la TV unachagua tu,Mwanza cables na Barmedas! Safi sana..tulikua tukilipia 10000 mpk 15000 lakini unaenjoy kweli! Sio hawa wengine sijui Startimes..mambo yote DSTV ndio maliza ubishi!
 
Back
Top Bottom