Tv box. Ufafanuzi

Tv box. Ufafanuzi

Tobito

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,312
Reaction score
4,172
Imani yangu ni kuwa humu huwa sikosi majibu fasaha. Mimi si mzoefu wa tech devices. Nimengojea sana azam wafufuke imeshindikana. Nisingependa kununua tena kingamuzi kingine. Naomba anayejua hii habar ya tv box kama
MXQ Pro 4K aniongeze maarifa. Bundle lake haliumizi? Je streaming yake kwa bundle tena mikoan si ya kukata kata? Kiuchumi najiumiza zaid?
 
Iyo unapoteza muda tuuuu. Bundle inakula vibaya sana depending on Video resolution ya Content.

Pia inataji Net yenye spid ya uhakika. Pia haina convenience. Eg. Unaweza ona channel fulani inaonesha mpira, kesho hakuna mara mprira umehamia channel nyingine. Yani ni usumbufu tuuu. Kama unachezea game au facebuuk na kuplay media files sio mbaya
 
Hapo ni hakuna kitu kwenye tv box. Asanten nilishataka kuinunua kisa lugha ya matangazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom