TV 1 (Viasat 1) majangaa


mawazo yako mafupi kama ya funza!habari wameanza jana ww upiga domo la kijinga subiri kwa uone hata mara kumi
 
Inapatikanaje hiyo channel, na hivi huku kwetu tunatumia cable sijui kama watai-add nasi tuione


Mwanzo mgumu..with time na wenyewe watakuwa poa

ipo mie huwa naiangalia mara nyingi sana ila jana ndo wameanza kutangaza Taarifa ya habari
 
ipo kwenye startimes, ila wana kipindi kimoja hivi cha kishoga na usagaji mbaya, vipindi vingine vyote ni bora kuliko tv zote tz.

wewe hiko kipindi kiko saa ngapi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

usinambiee
 
Aisee..kwa hiyo nao mtu inabidi ununue ving'amuzi vyao au niaje...nadhani hawa jamaa watakua safi sana kwa baadhi ya hizo channels za history na crimes nazipendaga mno..hebu tufahamishane niwatafute

wanapatikana statimes ndugu tena ni.local channel kama zilivyo tbc 1, itv, startv, eatv na channel 10.
 
Hapo kwa kipindi cha ushoga na usagaji mmenitisha. Ila itabidi niwe na star times niwacheki. Wataimprove tu
 
Hapo kwa kipindi cha ushoga na usagaji mmenitisha. Ila itabidi niwe na star times niwacheki. Wataimprove tu

yap ila mtu wa nje kuanzisha kituo cha tv tu hivihivi trna bureee haiwezekani lazima ana lake..tutaliona tuu kama ndo huo ushoga na usagaji ama vip..ila wana vipindi.vizuri.bongo movies na tv series..
 
Jana niliona habari yao.Watangazaji wake wengi wametoka mlimani tv. Nawasiwasi hii ni mlimani tv.
 
Taarifa ya habari inakuwa saa ngapi?
 

Nimekua nawafatilia siku ninazorudi mapema nyumbani na mara nyingi hua nakuta tamthilia na movies ambapo wamekua wananishawishi kuhisi hata taarifa yao ya habari watakua wanafanya vizuri ila kwa mapungufu ulioyataja tena ukasema huna ueledi na taaluma ya habari basi kwangu asilimia nyingi zimepungua.

Asante kwa kuyaona mapungufu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Sijapenda taarifa yao ya habari.Ni kama makala vile,hasa ile ya mitumba
 
Kwengine kote kupo poa,vipindi havichoshi unaweza kesha ukiangalia tv ila kwenye habari wamechemka wajipange upya bado mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…