Tukubaliane tu nchi yetu imeharibiwa na kitu kinaitwa demoghasia na kujipaka matope kwa wageni wasio na muda na sisi alafu sisi tuna muda nao istoshe tunawatembelea kabisa mpaka nchini kwao tukidai tunadumisha ushirikiano[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3578]inauma sana
Itoshe kuamini JIFU au mfu katili JPM hawezi kutembea tena kwenye sura ya hii dunia,
Ukatili,uuwaji, unafki , ukabila na udini vimeambatana naye huko aliko