Tuzungumzie SexChat

Tuzungumzie SexChat

hii kitu huwa siiamini kabisa, yani kisimu ndo kinifikishe.... nehi, nataka kuiona papuch kabisa na hilo figure la kibantu nilishike!!! mambo mengine ni kujichosha tu
 
itabidi saiv utumie BCC: ili asprin asione tena

Ewaaaaa hapo mtakuwa mmenisaidia.

Uchunguzi nloufanya umebainisha Mafikizolo ni bonge la mchuchu. Hajawahi achia ushuzi na akibanwa na haja kubwa inahamia kwa jirani ili kumuepusha na kisirani cha kuingia toilet.
 
Last edited by a moderator:
We tabibu una zali kama Argentina. We hata ukifumaniwa utaombwa msamaha na aliyekufumania. Ndo faida ya kuzaliwa usiku wakati mvua inanyesha.

me nahisi avatar yangu ndo inaleta mazali
Hahaha we ulizaliwa wakati gani kwani?
 
me nahisi avatar yangu ndo inaleta mazali
Hahaha we ulizaliwa wakati gani kwani?

Mi nlizaliwa alfajiri.... hii inathibitisha mdingi alim matusi maza mchana kweupe wa jua kali na umeme ukiwa umekatika....
 
Ewaaaaa hapo mtakuwa mmenisaidia.

Uchunguzi nloufanya umebainisha Mafikizolo ni bonge la mchuchu. Hajawahi achia ushuzi na akibanwa na haja kubwa inahamia kwa jirani ili kumuepusha na kisirani cha kuingia toilet.

uwiii unanitisha au?
 
Last edited by a moderator:
Sex kila baada ya siku mbili? Duu siutazeeka mapema

Sayansi ndiyo inasema hivyo mkuu!

jionee hapa kwa maelewano zaidi...

Umewahi kusikia kauli hizi? " Mume wangu hatosheki kitandani.." "..Sidhani kufanya mapenzi ndio liwe jambo la msingi lakini huyu mwanaume kaa! Basi tu kila siku mpaka kero.."
Bila shaka ni kilio cha wanawake wachache walioamua kusema. Hivi kweli ni mara ngapi au kiasi gani tuseme inatosha? Je wanaume wanafanya makusudi? Je kuna uwezekano wakabadilika?

Katika mapenzi, suala la kumtaka mwenza kimapenzi hutegemea sababu nyingi, chache ni uwezo wa kiafya, utayari wa kihisia, usalama wa kazini na mengineyo. Japokuwa jinsia zote huwa na kiu ya mapenzi lakini wanaume huwa ni zaidi.

Daktari David Reuben anasema kuwa ".. Wanaume wengi huzungukia ktk mzunguko wa saa 48 yaani huhitaji kukutana kimwili kila baada ya saa 48 ili wawe ktk hali njema ya kimwili na kiakili..."
Nae Daktari na mwandishi Dr Herbert Miles anasema ".. Mwanaume mwenye afya njema mbegu hujaa kila baada ya saa 42 hadi 78 na kuzalisha nguvu kali inayohitaji zitolewe.."

Pia mwanasayansi Alan Frome anasema kuwa '.. Wanaume wanaonekana kuwa na njaa ya kukutana kimwili kwa sababu ya maumbile ambapo prostate gland ina kifuko kidogo kitunzacho mbegu, na kijaapo, mwanaume huhitaji kuzitoa, presha huzidi zaidi na zikitoka hurudi ktk hali yake ya kawaida.."

UPANDE WA WANAWAKE

Wanawake hutofautiana kabisaa na wanaume hali kadhalika na wao kwa wao. Kwa mujibu wa utafiti wa Johnson Masters 2010, kwa wastani 20-25% ya wanawake huwa na mtazamo hasi au vuguvugu ktk kuhitaji kukutana kimwili.
2% hawajali kabisa kuhusu kukutana kimwili.
25% zaidi huhitaji sana, husaka kukutana kimwili na huanzisha hitaji hili hata kabla ya mwanaume kusema.
50% iliyobaki huwa na uhitaji wa wastani tu.

Ifahamike pia hasa kwa wanaume kuwa, hali ya mwanamke hubadilika sana ktk kuhitaji tendo la ndoa ktk kipindi cha mzunguko wa siku zake.
Lakini mwanamke anapofikia miaka 40+ hitaji la kukutana kimwili hulingana karibu na lile la mwanaume

NINI KIFANYIKE
Wanaume ambao hawajaoa wanapaswa wajike sana ktk shughuli za uzalishaji mali zinazochosha mwili au mazoezi na kuepuka mambo yanayochochea hisia za mapenzi hapo wataishinda saa ya 48, Walio ktk ndoa wawe na utaratibu unaokubaliana na hali ya mwanamke na wajenge mazoea ya kufanya romansi sana ili kuendana na mabadiliko ya mwanaume na kuepusha utumwa wa ngono ndani ya ndoa au kukimbilia nje ya ndoa hali inayoleta magonjwa, kutelekeza familia na mengineyo yasiyoleta furaha ya familia
 
Hahaha hope ya sasa inafika mpaka kwenye jamhuri ya watu wa kenya
Cc Asprin
Hehehehe mi unaniCC kiAlshabaab... notification haifiki kwenye serikali ya jamhuri ya watu wa Kenya.
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada una uzoefu waa mud a gani labda? Huko ni kuchinika tu :what:
 
Hahaha hope ya sasa inafika mpaka kwenye jamhuri ya watu wa kenya
Cc Asprin

Ewaaaaa...... sasa naweza kuwasiliana na nguvu zangu za kiume. Waambie mabinti wakae mbali na mimi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom