Tuzungumze familia: Kwanini unatamani/ulitamani kuwa na mtoto?

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Habarini wakuu,

Naamini angalau kila mmoja wetu anahitaji kuwa mtoto. Wengine wameshafanikiwa na wengine bado.

Je, wewe ambae una mtoto ni kitu gani kilikufanya uchukue hatua za kuamua kuwa na mtoto?

Na wewe ambaye bado hujapata mtoto na unahitaji ni nini kinakusukuma hivyo?

Swali hili linaweza kuonekana la kawaida au lisilo na maana sana, lakini majibu yake yatasaidia kufungua milango ya malezi kwa watoto hao.

Hebu tuzungumze hapa.
 
Swali gumu

Lakini binafsi natamani kuona new version of me....natamani sana kuona kiumbe kitakachotokea kati ya mimi na baba ake kimuonekano,kitabia
Natamani kuifeel ile feeling ya kuitwa mama

Kufikiria tu kuwa na mtoto nakuwa sooo excited
Shukrani mkuu kwa mchango wako, na naamini hitaji la moyo wako litatimia.
 
haswa kwetu vijana. Ukiona kimdada vitako pwichu! Plus papuchi moyo mbiyo! Mimacho kodo km fundi saa mzee!

Sijui siri ya wadada wanawekaga nini mle?

Mtoto ni matokeo ya ghafla ya hayo yote!
Ila bana. napenda kuumba binadamu hallow!
Kwanza sikuamini limshedede litatoa kamshedede! Plus asali yao!

Nilikuwa nashangaa sana. Mara ya kwanza sikuamini.....so nilimbeba mtoto wangu week nzima!

Baadaye Niakaenda kwingine sikuamini km ni mimi.nimefyatua!

Nikazidi kwenda na kwingine kila baada ya mfyatuko mmoja, mpaka nilipopata idadi ya kutosha na pigo baya sana la fumanizi juu. Ndo nikakoma na kutubu kabisaaa mpaka leo nasali tu.nakusomesha!
 
Back
Top Bottom