Tuzo za watu kufanyika leo, Jimmy Kabwe Kuhost

Tuzo za watu kufanyika leo, Jimmy Kabwe Kuhost

1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA
Millard Ayo – Clouds FM
Millard-Ayo-akishukuru.jpg

2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA
Amplifaya – Clouds FM

3. MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA
Salim Kikeke – BBC Swahili
Mtangazaji-wa-BBC-Swahili-Salim-Kikeke-akishukuru-kwa-kushinda-tuzo-kushoto-ni-Mzee-Hamza-Kasongo.jpg

4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA
Mkasi – EATV

5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA
Juma Kaseja – Yanga

6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA
Nisher


7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA
KIUME
My Number - Diamond

8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE
Yahaya – Lady Jaydee

09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
King Majuto
Mzee-Majuto-akifurahia-ushindi.jpg


10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA
Elizabeth ‘Lulu' Michael
JB-akimkabidhi-Lulu-tuzo-ya-muigizaji-wa-kike-wa-filamu-anayependwa.jpg

11. FILAMU INAYOPENDWA
Ndoa Yangu
 
mmmh lulu ndio mwigizaji wa kike anaependwa

Mimi mwenyewe nimestaajabu sana aiseeh, kwangu lulu hajawahi kuwa muigizaji bora hata kidogo, bora yule mwenzio diana kimaro, nilimuona kwenye kigodoro na Danija aiseeh yule dogo ni nyoko, lulu afui dafu mule, nashangaa sijui kwa nini hawakapagi tuzo, wanampendelea lulu kwa kuwa ni maarufu .

Yaani kawapiku akina wolper, wastara na riyama?? May God forbid it
 
Jamaa nawapongeza wameanza vizuri...Haswa kwenye uandaaji wa ukumbi na onyesho,najua ugumu wa hivi vitu haswa ukianza bila mdhamini watafika mbali sana.
 
Bora raisi wa mashatoshato B12 hajapata maana wapiga kura wake ni wale wa mchana tu.... big up millard ayo maana wapiga kura wako ni rika zote
 
Haka lakini kalichukua tuzo za Ziff kalivivyotoka tu Lupango na hapa nadhani hawajaangalia ubora wa kazi walichokuwa wanaangalia wenyewe ni Kupendwa

Lulu anapendwa na nani zaid ya uko instagram??, wanawaacha wasanii wakina riyama wanatuchagulia bibi bomba
 
Lulu anapendwa na nani zaid ya uko instagram??, wanawaacha wasanii wakina riyama wanatuchagulia bibi bomba

Mimi uwa sioni tofauti yao bongo muvi labda sababu sio mtazamaji wa kazi zao...ila ukiniambia nichague hapo ata mimi ningemchagua Lulu coz ndio ninayemfahamu..
 
Mimi uwa sioni tofauti yao bongo muvi labda sababu sio mtazamaji wa kazi zao...ila ukiniambia nichague hapo ata mimi ningemchagua Lulu coz ndio ninayemfahamu..

Unamfahamu kwa kuwa ni maarufu tu, na ndio maana umesema sio mtazamaji wa movie za kibongo, ndo maana mimi nikasema lulu hakupaswa kuchukua tuzo.

Lulu ni maarufu tu kwa ajili ya matukio yake binafsi ila kwenye uigizaji ni Big no
 
Halafu unamwekaje JB na mzee majuto group moja. Majuto ni comedian kuna watu hawapendi comedy sasa utasemaje majuto anapenwa kuliko JB/richie/dr Cheni etc. Labda mwanzo mgumu tusubiri next time.
 
Jimmy Kabwe Kwa sasa yuko Choice Fm ni mtangazaji pale kabla ya hapo alikuwa afisa masoko wa TFF pia alishawahi kuwa mtangazaji katika vituo kadhaa vya radio
aisee sikujua thanks much ila hilo jina ilikuwa tu si geni masikioni
 
aisee sikujua thanks much ila hilo jina ilikuwa tu si geni masikioni

Ukweli ni kwamba kama humjui au hujamsikia Jimmy Kabwe basi wewe ni mgeni hapa mjini.

Jimmy Kabwe, Dj Bony love Emma Chris, Lady Jaydee, Ray C hawa ni watangazaji walioanza na Clouds fm wakati inaanzishwa.
 
Back
Top Bottom