Ulichosema ni kweli. Watoa tuzo walipaswa wachague wasanii mahiri wa ukweli kisha wawatangaze hao ili wapigiwe kura.
Hao wakina Lulu na wengine wa ajabu ajabu wasingepata nafasi kwani hawafai hata kuitwa wasanii zaidi ya kutangazia umma kuwa uchumi walioukalia unalipa sana.
ofisi kiuno.....Wanashindana kutwa uko insta kuonyeshana vitanda vya thamani na magar wanayoendesha, ukiwaambia waonyeshe kazi zao wanaanza kutumbua macho mxiuuuuuu
kabisa.Halafu unajua Sanaa kwa Tanzania its a big time investment when you are serious.Hebu iwazeWanaboa sana, tatizo wanafanya vitu bila kufanya uchunguzi wa kina, wenyewe wanawajua wakina lulu tu kwa kuwa kutwa wapo magazetini mxiuuuuuu, tumechoka #BRING BACK OUR TALENTS hatutaki wauza sura
Relax Warumi..naona umechukia sana MkuuAta kwenye top twenty hawakupaswa kuwepo