Yani wamuache salama wampe yeye? Mxiuuuu
KILI MUSIC alishinda mpoki dhidi ya mpotoYani wamuache salama wampe yeye? Mxiuuuu
warumi kwenye kiwango chako cha juu kabisa cha ubora,kama sio wewe vile mwenye misonyo ya kike kama wanaijeria na maneno shombo kama vumba!!
Hongera kwa kuliona na kulikemea,ikiwezekana watupie na kule bongo five yao huenda Nancy na Mmewe mdosi wakaona tatizo!!!
Ulichosema ni kweli. Watoa tuzo walipaswa wachague wasanii mahiri wa ukweli kisha wawatangaze hao ili wapigiwe kura.
Hao wakina Lulu na wengine wa ajabu ajabu wasingepata nafasi kwani hawafai hata kuitwa wasanii zaidi ya kutangazia umma kuwa uchumi walioukalia unalipa sana.
Peoples choice awards hata kwa majuu iko ila nadhani kina nancy wamecopy project nusunusu.Peoples choice awards maana yake bongo5 inatoa categories then people zinapendekeza majina.ofcoz ukisema waigizaji wazuri wale watazama movie watawataja tu siku zote haki ya mtu haiuzwi.ila naona hawa wenzangu na mie wameweka categories na watu kabisa sasa hapo people zina choose nini?its a good idea kuwa na tuzo za watu ila basi wazingatie maana ya tuzo za watu.
Ulichosema ni kweli. Watoa tuzo walipaswa wachague wasanii mahiri wa ukweli kisha wawatangaze hao ili wapigiwe kura.
Hao wakina Lulu na wengine wa ajabu ajabu wasingepata nafasi kwani hawafai hata kuitwa wasanii zaidi ya kutangazia umma kuwa uchumi walioukalia unalipa sana.
Inshort wananiboa, hao akina lulu washasema kazi zao ni umalaya, basi sanaa wawaachie wenyewe, inaniuma sana riyama kukosa tuzo halafu hao wauza sura wanapewa kama njugu