Tuzo za watu: Hapa hamfanyi haki

Tuzo za watu: Hapa hamfanyi haki

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Hakuna vipengele vinavyoniboa kwenye Tuzo za watu, kama hivi vya sijui mwanamuziki na muigizaji anayependwa, binafsi sioni kama kuna mantiki apo, yani msanii ata kama hufanyi vizuri ila kwa kuwa akina matikiboko yao wanakupenda kule insta kwa mambo yako binafsi, na sio kazi ya msanii, basi wewe unafaa kupewa tuzo, hii inakera sana, tujifunze kutofautisha kati ya wasanii wanaofanya sanaa kama kazi na wale wanaofanya kama fashion (in Lulu's voice ) .

Ni aibu kumpambanisha Riyama Ally na akina Wolper, Lulu na Wema, eti kwa kuwa tu Lulu anapendwa sana Instagram jinsi anavyovaa na kujipiga ma selfies basi wampe tuzo yeye na kumuacha Odama, huu ni uonevu na tunawavunja moyo sana wasanii wenye vipaji halisi. Ni bora mkawatoa kabisa akina Riyama ili muwaweke wale mnaoona wanastahili.

Hao akina Lulu na Wema wana tuzo zao uko kwa Shigongo zinaitwa IJUMAA SEXIEST GIRL kila mwaka wanashindanishwa makalio na kukaa uchi, ila kwenye vipaji kwa kweli hamuwatendei haki. Mwaka jana Wema sepetu alichukua tuzo ya Ijumaa sexiest girl, pale alistahili kabisa kwa kuwa Wema ni sex kabisaa, tuzo ambayo ilichukuliwa pia na jJck kabla ya kuitwaa Wema.

Kama kweli mmeamua kutoa tuzo za heshima kwa wasanii wenye vipaji basi zingatieni vipaji na sio vinginevyo.

Unapompa tuzo Wema au Lulu kuwa msanii bora wa kike, kwa kazi gani? Kwa filamu ipi? Na kwa kiwango gani? Mnawaacha akina Thea, Mainda, Wellu sengo, Odama, Nisha, Johari wanaohangaika kwa ajili ya sanaa, wanajituma ubora wao unaonekana, kwa kweli inasikitisha sana.
 
Tatizo mkuu ni mashabiki ndio wanaopiga kura,wema na lulu ndio wanaoongoza kwa kua na mashabiki wengi hapa bongo kuliko kina Odama.

Wangebadili tu utaratibu wa kumpata mshindi
 
warumi kwenye kiwango chako cha juu kabisa cha ubora,kama sio wewe vile mwenye misonyo ya kike kama wanaijeria na maneno shombo kama vumba!!

Hongera kwa kuliona na kulikemea,ikiwezekana watupie na kule bongo five yao huenda Nancy na Mmewe mdosi wakaona tatizo!!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa nakosa hata cha kusema.Ngoja tu nikuunge mkono warumi kwa uliyoyasema.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana zinaitwa tuzo za watu sababu watu ndo wanachagua sasa huwez kuwalazmisha watu wamchague MTU ambae hawafurahishw nae
 
Inshort wananiboa, hao akina lulu washasema kazi zao ni umalaya, basi sanaa wawaachie wenyewe, inaniuma sana riyama kukosa tuzo halafu hao wauza sura wanapewa kama njugu
 
Ndio hivyo binamu.Tatizo halipo kwa waandaaji bali tatizo lipo kwetu sisi watanzania ambao ndio WATU wenyewe tunaopiga kura.
Tukibadilika sisi na kuangalia vipaji na sio mashauzi ya Instagram basi hizi tuzo zitaleta maana.
 
Ndo maana zinaitwa tuzo za watu sababu watu ndo wanachagua sasa huwez kuwalazmisha watu wamchague MTU ambae hawafurahishw nae

Kama ni hvyo basi wawape hizo tizo na vichaa kama ni tuzo za watu, tuzo zimejaa ubaguzi
 
Ndio hivyo binamu.Tatizo halipo kwa waandaaji bali tatizo lipo kwetu sisi watanzania ambao ndio WATU wenyewe tunaopiga kura.
Tukibadilika sisi na kuangalia vipaji na sio mashauzi ya Instagram basi hizi tuzo zitaleta maana.

Sisi tunapiga kura ila wao ndio wana uamuzi wa mwisho, kwani hawawezi kuchagua pumba na mchele? Ina maana tukimpigia kura chizi basi hyo huyo ashinde kwa kuwa tumempigia kura? Halafu mi uwa siamini kwenye upigaji kura kwa kweli
 
Hahahaaa! warumi leo naona una hasira sana.
Ndio hivyo sasa wenyewe wanatumia kigezo cha kura kutoka kwentu ndio maana hata tuzo zao zinaitwa TUZO ZA WATU.
 
Last edited by a moderator:
Ndio hivyo binamu.Tatizo halipo kwa waandaaji bali tatizo lipo kwetu sisi watanzania ambao ndio WATU wenyewe tunaopiga kura.
Tukibadilika sisi na kuangalia vipaji na sio mashauzi ya Instagram basi hizi tuzo zitaleta maana.

Tatizo ni la waandaaji, ivi kweli ukampe wema tuzo za uigizaji jaman? KWa movie ya mwaka gani? Na kwa kiwango kipi? Si bora ata wolper mara mia, yani wema hakufaa kabisa kuwania tuzo kwenye hvyo vipengele, wenyewe wasubiri tuzo za shigongo ijumaa sexiest
 
Tatizo mkuu ni mashabiki ndio wanaopiga kura,wema na lulu ndio wanaoongoza kwa kua na mashabiki wengi hapa bongo kuliko kina Odama.

Wangebadili tu utaratibu wa kumpata mshindi

SIzungumzii mshabiki, nazungumzia waandaji, hao wakina wema na lulu watawawekaje kwenye vipengele ambavyo hawapaswi kuwepo
 
Tatizo ni la waandaaji, ivi kweli ukampe wema tuzo za uigizaji jaman? KWa movie ya mwaka gani? Na kwa kiwango kipi? Si bora ata wolper mara mia, yani wema hakufaa kabisa kuwania tuzo kwenye hvyo vipengele, wenyewe wasubiri tuzo za shigongo ijumaa sexiest

Hilo halina ubishi warumi. Tena sio ajabu tukashangaa kuona Wema huyo huyo akipewa tuzo ya kile kipindi chake anachoonesha jinsi anavyofanya umalaya wake.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa! warumi leo naona una hasira sana.
Ndio hivyo sasa wenyewe wanatumia kigezo cha kura kutoka kwentu ndio maana hata tuzo zao zinaitwa TUZO ZA WATU.

Hata vichaa pia ni watu, mbona hawajawaweka tuwapigie kura? Mxiuuuu, tatizo hawaijui tasnia nzima, wenyewe wanawajua hao makahaba zao tu
 
Last edited by a moderator:
SIzungumzii mshabiki, nazungumzia waandaji, hao wakina wema na lulu watawawekaje kwenye vipengele ambavyo hawapaswi kuwepo

Hilo ndio tatizo sasa kwa waandaaji!wangebadilika tu kiukweli kwanza tumewachoka
 
Ndo maana zinaitwa tuzo za watu sababu watu ndo wanachagua sasa huwez kuwalazmisha watu wamchague MTU ambae hawafurahishw nae

Sasa si wangwtofautisha za kupendwa na watu na wanaofanya kazi kiuhalisia Inge make sense zaidi kama waweke za kupendwa na kuwa na mashabiki bila hivo haziko fair mana wengine hawapendi mauzo ka ya Lulu na Wema na ni wachapa kazi.
 
Ndio hivyo binamu.Tatizo halipo kwa waandaaji bali tatizo lipo kwetu sisi watanzania ambao ndio WATU wenyewe tunaopiga kura.
Tukibadilika sisi na kuangalia vipaji na sio mashauzi ya Instagram basi hizi tuzo zitaleta maana.

KWani wenyewe hawajui? Mbona hawaweki machizi tuwapigie kura? Mxiuuuuu
 
Hilo halina ubishi warumi. Tena sio ajabu tukashangaa kuona Wema huyo huyo akipewa tuzo ya kile kipindi chake anachoonesha jinsi anavyofanya umalaya wake.

Yani wamuache salama wampe yeye? Mxiuuuu
 
Last edited by a moderator:
Nakubali ni wachapakazi ila sasa hawana interaction sana watu usanii sio kipaji ni jinsi relationship yako na fans wako ilivo
 
Back
Top Bottom