Tuzo za KTMA zina kasoro

Tuzo za KTMA zina kasoro

musami

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
1,434
Reaction score
460
Haiingii akilini wimbo uliotoka mwezi Novemba na kutamba miezi miwili,ushindanishwe na wimbo uliotoka mwezi Machi na kutamba miezi kumi ktk mwaka husika.Ndio maana wasanii wapenda tuzo wanatumia udhaifu huu kwa kutoa nyimbo mpya miezi ya mwisho wa mwaka,maana wanajua wakati wa upigaji kura wimbo unaopigiwa kura ni ule ulio masikioni mwa wapiga kura.Ushauri ni kwamba zoezi la kutafuta kazi bora lianze Januari hadi Desemba kujua kazi iliyofanya vyema kwa mwaka mzima.Hii itaondoa manung'uniko
 
Huna faida utayopata mkuu,kaa chini jali yako
 
Mnahuzunika kwa sababu yule rais wenu a.k.a domo kaambulia chache!!! Kuna kushuka na kupanda...ushindani ni bora.. kiba yuko juu!!
 
Back
Top Bottom