uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,498
- 27,280
Jana usiku Binti huyu mrefu mwenye mvuto wa kipekee ameibuka mwanamichezo Bora kwa upande wa wanawake
Aisha ameweka historia hiyo baada ya siku Chache kupewa tuzo na club yake ya Yanga kwa mafanikio yake katika soka
Itakumbukwa kuwa Aisha alijipata akitokea Yanga na Sasa anacheza Brighton pale Uingereza
Katika tuzo hizo Yanga imefanikiwa kuibuka team Bora baada ya kuwashinda team ya basketball ya dar city(team ambayo inadhaminiwa na Abdul)
Twiga stars imeibuka team Bora kwa upande wa wanawake
Tuzo hizo Jana zilifana sana
Samia5tena