Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Mbowe ni tunu ya Taifa, dagaa wote waliomtukana wamepandishwa vyeoTunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Kweli kabisa Mbowe ni mwamba wa demokrasia Tanzania.Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Definitely our premier 2020 - 2025.Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Haitakaa itokee.Definitely our premier 2020 - 2025.
CCM mnawaza ngono muda wote badala ya maendeleo ndiyo maana na Mwenyekiti wenu mifano yote ni wanawake weupe, kutwa mnamsifia inamaana Janeth ni wanaume mwenzake?Beatrice mleta mada Mbowe na ana mkewe katafute mwingine wa kumsifia ambaye hajaoa
Nobel
Kila kukicha CCM huwa wanahangaika na Mbowe na hawajui yakuwa Mbowe ni kichwa zaid ya halimashauri kuu ya Ccm taifa yoteTunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Hata Mwampamba alitolewa kazini na mtu mwenye mke na watoto, akilinda mchepuko.Beatrice mleta mada Mbowe ameoa na ana mkewe katafute mwingine wa kumsifia ambaye hajaoa
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...