Tuzo ya amani na uvumilivu iende kwa Freeman Mbowe

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele.

Mhe. Mbowe ni mzee sasa anakaribia au ana umri wa miaka 60 akiwa amezaliwa kwenye utajiri lakini ameacha apoteze mali na fedha ila asimamie Demokrasia ya nchi.

Watu kama hawa uzaliwa wachache, tuna kila sababu yakumpongeza na kumpa nishani ya kusimamia haki, amani na uvumilivu.

Nakumbuka namna yule kijana wa Morogoro alivyomdhalilisha Bungeni, nakumbuka alivyotuhumiwa akapelekwa Takukuru; nakumbuka alivyokwenda Segerea; nakumbuka alivyovumilia matusi ya vijana aliowalea kwenye chama, yupo strong. Nimwombee aendelee kuwa strong huko tuendako.

AHASANTE SANA MHE MBOWE KWA KUTUONESHA UMUHIMU WAKUSIMAMA NA WANAOTESEKA.
 
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Mbowe ni tunu ya Taifa, dagaa wote waliomtukana wamepandishwa vyeo
 
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Kweli kabisa Mbowe ni mwamba wa demokrasia Tanzania.
 
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Definitely our premier 2020 - 2025.
 
Faru John apewe tuzo, kwa Sera zake za kutaka kuuza mashirika yote ya umma, kula ruzuku na michango ya wabunge 1.5Mil,kula vitu maalum mpaka kuvunja mguu, kutaka kugawa nchi kikanda kwa Amsterdam.
 
Beatrice mleta mada Mbowe ameoa na ana mkewe katafute mwingine wa kumsifia ambaye hajaoa
 
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...
Kila kukicha CCM huwa wanahangaika na Mbowe na hawajui yakuwa Mbowe ni kichwa zaid ya halimashauri kuu ya Ccm taifa yote
 
Tunafuraha kuona mchuano mkali wa kisiasa Tanzania kwa sababu wapo watu walikataa kufika bei wakabaki imara bila kutetereka. Mmoja wapo ni Mhe. Mbowe, udhalilishaji, hujuma, ufilisi wa mali zake na kesi mbalimbali dhidi yake ikiwemo kulala jela havikumrudisha nyuma vilimfanya asonge mbele...

Haujaeleza kaletaje amani?
 
Back
Top Bottom