Tuzipinge mimba za UTOTONI.

Mhh yana radha kweli hayo?,maskini mbegu zetu za asili zinatoweka kidogokidogo..
 
Robot la Matope


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimeona mwembe sehemu nilichoka!yaani ule umebakwa na kunajisiwa haswa!umejaa mimba (maembe) kiasi kwamba mwenye shamba kayatandukia viroba yasichafuke kwa jinsi yanavyo garagara kama maboga na mwembe wenyewe kama ulipitia kuruka viunzi unauruka pasina shaka!
Tahadhari haya mambo wasituletee kwa binti zetu mara unakuta mtoto ana mika 5 unajiandaa kuitwa babu wataalam wamesha mpevusha mapema na mabazazi wameshafanya yao!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…