Specialmtengeti
New Member
- Nov 1, 2018
- 4
- 1
Sidhan kama hyo na mafundisho ya mwezi mungu
Tuendelee na utamadun Wetu wa kuzika Ardhini
Tuendelee na utamadun Wetu wa kuzika Ardhini
Sw mkuu wazo zuri sana,lakini mwili wa nyama baada ya kufa yaani mwili umeshindwa kufanya kazi wewe utaondoka kwenye mwili huo,utakua mahali pengine.hivyo mwili hautakua na maana tena hata ungetupwa au kuchomwa sawa tu ndio maana huwa unasikia maiti ya juma yaani kuna juma mwenyewe halafu kuna mwili.kuzika ni kukalili tu wala haina maana sana sema tunaogopa harufu ya maiti.Tamaduni nyingi zinaheshimu Sana mwili wa marehemu..na hata hivyo sio utu kumchoma marehemu..Mimi nadhani bado tuendelee na taratibu zile zile ila makaburi yakifikisha miaka Mia tunaweza kupasafisha tukaendelea na shughuli
Mbona mapori bado mengi sana.!