Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,850 Reaction score 9,423 Aug 9, 2011 #1 "serikali corrupt huwa inawaogopa wafanyabiashara, serikali corrupt huwa haikusanyi kodi bali huwaonea wafanyabiashara wadogo wadogo, wale wakubwa inawaacha na hata ikiwaambia wanasema ah atatufanya nini huyu?"
"serikali corrupt huwa inawaogopa wafanyabiashara, serikali corrupt huwa haikusanyi kodi bali huwaonea wafanyabiashara wadogo wadogo, wale wakubwa inawaacha na hata ikiwaambia wanasema ah atatufanya nini huyu?"
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,850 Reaction score 9,423 Aug 9, 2011 Thread starter #2 Maneno haya ni ya MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,051 Reaction score 168,709 Aug 9, 2011 #3 Wauza mafuta ndio walio iweka serikali ya kikwete madarakani.