Tuweke vituko vya watoto wetu hapa

Tuweke vituko vya watoto wetu hapa

da30ad5ad9ad50355a2e8786ebd56d81.jpg

Eti Mhenga!! [emoji23] [emoji23]
 
Sisahau siku tulioalikwa chakula cha mchana
Watu kibao hapo ndio msosi umetengwa watu wanaanza kula
Kwa bahat mbaya kuna mzee mmoja ushuzi ukamtoka wa kimya kimya
Yulle mzee akajikausha harufu ilivozidi yule mtt nliokua nimekaa nae karibu
Akaongea kwa nguvu huku akimsonta kwa kidole“HUYU MZEE NDIO KAJAMBA”
Chakula kilinipalia[emoji3][emoji3]
hahahahahaha watoto hawachagui sehemu za kudhalilisha
 
Hapa mtaani kuna katoto huwa kanauza vitumbua, kuna siku kalikuja nikanunua vyote vilivyokuwa vimebaki kama vya buku hivi, siku nyingine kakaja tena nikakaambia leo sinunui, kakaondoka sasa kuna siku vikaja viwili ka kike na kiume nimevisikia nikasema leo vikipiga hodi siitikii nakaa kimyaaa, vikaanza hodiiiiii hodiiiiii nikatoka sebuleni nikaingia zangu room kabisa, hodiiiiii hodiiiiii me kimyaaaa nikijua vikiona kimyaaa vitaondokaaa, hodiiiiii aaaaah mara vikaamua kuingia ndani na kuanza kupekua baadhi ya vyumbaaa ikabidi nijitokeze tu ile vinaniona tu eti VITUMBUAAAA, nikaviambia mkiona kimya kwa watu msiingie ndani, leo sinunui nendeni kwingine basi ile vimetoka tu nilicheka sana akili za kitoto bwana.
 
Mm mdogo wangu wa mwisho anapenda kujipaka mafuta ya mgando ukisahau tu mjue mmekwisha
 
Nilimuambiaga Mtoto wa kike wa jiran yetu, Twende kutembea akaniambia haya ngoja nikabadilishe nivae suruali, sijui aliwaza nini
 
Kumbe huku kuna watu mpaka sasa wana wadogo mpaka wenye miaka miwili,duh,kweli watoto wengi sana huku ndio maana matusi na dharau kila uchwao.
 
Back
Top Bottom