Tuweke kumbukumbu sawa, Bethlehem alikozaliwa Yesu sio Israel, ni Palestine

Ndio tunamjua sana,na hata ugomvi wetu na Wayahudi ulianza baada ya kumtusi Yesu ni mtoto nje ya ndoa,kwa mujibu wa dini ya Kiyahudi Nabii wanaemtambua wa mwisho Mussa.
Hapo haujasema kweli,chuki ya Waislam kwa Wayahudi imekuja kutokana na mwanamke wa kiyahudi Aisha ambaye aliolewa na Muhammad kwa nguvu baada ya Muhammad kuua mume wake na watoto wake kusababisha kifo cha mtume wa allah kwa kumpa mtume nyama yenye sumu.Huo ndio ukweli na hakika.

Hayo uliyoyasema hapo juu ni ujanja ujanja wa kiislam tuu.
 
Eneo la palestina lilikuwa eneo la wayahudi la uzawa wa akina Israel, Yuda, Benyamin, Ghadi, nk ambao waligawiwa Na baba yao kila mmoja Na wazawa wake.
Wayahudi walifukuzwa kutokana Na vita, hata wengine wakaenda Misiri wakawa watumwa ila Mungu aliwahidi ardhi yao waliporudi walikuta kuna wahamiaji Warabu kutoka mbali yaani Iran, nk.
Mara nyingine walifukuzwa katika vita kuu vya kwanza Na vya pili vya dunia ambako kulikuwa Na lengo la kuwaondoa kabisa duniani wayahudi.
Lakini kwa kuwa ni ahadi ya Mungu walirejeshwa tena katika maeneo yao kwa uweza wa Mungu Na kukuta wahamiaji Waarabu walishaongezeka hiyo ilikuwa baada ya vita kuu ya PILI ya Dunia.
Utekelezaji wa maamuzi ya Rais Trumph ni ukamilisho sahihi wa neno la Mungu.
Wengi watapinga kama wakivyompinga Yesu bila kujua mtego uliokuwa umewekwa na Mungu juu yao.
Hivyo kuwepo kwa neno Palestina does not mean hiyo ARDHI ni ya Waarabu, Bali ni ya wayahudi waliokuwa uhamishoni akiwemo Musa Na wenzake.
warabu kutoka mbali yaani Iran...Iran kuna warabu???
 
Ubatizo maanayake ni ==> Warumi 6:3-9
[3]Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
[4]Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.
[5]Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;
[6]mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;
[7]kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.
[8]Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye;
[9]tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
 
Ubatizo ni Warumi 6:3-9

Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa Jerusalem. Kama Bethlehem IPO mikononi mwa waislam, basi Jerusalem pia itaingia mikononi mwao. Hii ni ahadi katika zaburi na Qur'an.
Wakati ule MESSIAH anazaliwa, Bethlehem ilikuwa ndani ya Israel, ilikuwa sehemu ya Uyahudi, lakini baadaye mengi yametokea. Israel ile ya wakati ule siyo hii ya sasa hivi. Hata mji wa Jerusalem wakati ule ulikuwa mji mkuu wa Israel. Mipaka ilibadilishwa na ijulikane kuwa Israel haijawahi kuwa salama hasa baada ya MESSIAH kuondoka. Ni nchi ambayo imekuwa katika migogoro kila kukicha wakigombea mipaka na majirani zao. Hivyo siyo ajabu leo hii ukisikia kuwa Bethlehem ipo kwa Wapalestina.

Matatizo yote hayo ya kunyang'anywa maeneo yao yanawakuta Israel sababu walimkataa MESSIAH. Na Yeye MESSIAH aliwaambia hivi; "Ee Jerusalem uwauaye manabii na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwako! Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mabawa yake lakini hamkutaka. Angalieni nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa. Kwa maana nawaambia hamtaniona kamwe tangu sasa hata mtakaposema, amebarikiwa Ajaye kwa jina la BWANA". MATHAYO 23:37-39
 
Ubatizo ni Warumi 6:3-9
[3]Hamfahamu ya kuwa sisi sote tuliobatizwa katika Kristo Yesu tulibatizwa katika mauti yake?
[4]Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.
[5]Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake;
[6]mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena;
[7]kwa kuwa yeye aliyekufa amehesabiwa haki mbali na dhambi.
[8]Lakini tukiwa tulikufa pamoja na Kristo, twaamini ya kuwa tutaishi pamoja naye;
[9]tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.
Ubatizo si agizo la Mungu...
 
Mudy alikuwa anasali na wayahudi vzr , akitaka kujifunza kuhusu MANABII NA MITUME WA YEHOVA waliokuwa wayahudi, Wayahud wakamsimulia vizuri habari za MUNGU JEHOVA ,akaanza hadi kusali akielekea Yerusalemu akaachana na UPAGANI WA MAKA NA ULE WA MAKURESHI, baadae akaingiwa na SHETAN akaanza kujifanya nabii, sasa WAYAHUDI sio wajinga hawa hawakukubali kizembe ,wakampima vipimo vyote ili kujua ni nabii wakakuta TAPELI TU, wakimuuliza umekutana na nani wewe huko mapngoni anasema GIBRIL, aha wayahud wakamwambia usitutanie , fanya muujiz Basi ,hola ...NDIO AKAANZA CHUKI DHIDI YA WAYAHUDI ,NA AMEWAAGIZA HADI WAFUASI WAKE wawachukie wayahudi zaid kisha wafatie kwa MANASWARA(WAKRISTO)

Toka awali alikuwa anasali na wayahudi kwenye HEKALU la suleman, Alipotokewa na shetan, na kupewa UTUME WA UONGO, ndio mzozo na wayahudi ukaanza...

Maandiko ya Qur-an yanaonesha wazi kuwa kabla ya hapo hata Muhammad mwenyewe alikuwa akifuata kawaida za ibada alizofundishwa na Wayahudi.
-Wayahudi walikuwa na desturi ya kusali kwa kuangalia Yerusalemu, kawaida hii ndiyo iliyotawala maisha ya Muhammad kwa takriban zaidi ya mwaka mmoja na nusu naye alikuwa akiabudu kwa kuangalia Yerusalemu.
(Qur-an 2:144 fafanuzi uk 34)

Tukio la mwaka 610 BK ndilo lililoleta mabadiliko makubwa kwa Muhammad, mwaka huo ndio ambao Muhammad
alipokea mafunuo yake mapya katika mapango ya Jabal hilaa tofauti za kimafundisho, mwenendo, n.k zilianza
kuonekana katika maisha ya
Muhammad mara tu baada ya kuanza kupokea mafunuo hayo. (maisha ya Muhamadi uk 16 shekhe Farsy).

-Hilo lilimfanya Muhammad
kuanza kupingwa na wayahudi hao, Haswa sababu kuu ni pale Muhammad alipoanza kupinga mafundisho waliyompa kama vile., Kutotia mkazo wa Kiibada katika jengo lenye asili ya upagani Al-Kaaba. Qur-an 22:29 [27:9], na Kuanza tabia ya kutangaza imani mpya ya uislam na kuwa na mafundisho yaliyo onekana
kutofautiana na yale ya kibiblia(TANAKH).
Kutokana na mafunuo hayo mapya hoja kuu ya Wayahudi ilikuwa ni juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadihayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an inonyesha hilo.

Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi wanampinga Malaika Jibril amhaye ndiye aliyeleta mafunuo hayo kwa Muhammad.
Na Ibada ya ijumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.

-Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi
yaliharibika, Fuatilia katika aya
zifuatazo:

Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi
Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayuhudi. ,walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.

Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na
ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa
Yathrib (madina),ili apingane na WAYAHUDI, kumbuka awali alifata mila zao na alisali nao siku ya sabato(JUMAMOSI).

KUANZIA HAPO MUHAMMAD AKAPANDIKIZA CHUKI KWA WAFUASI WAKE DHIDI YA MYAHUDI, Quran imejaa Aya lukuki za kuwachukia wayahudi hasa.

Mungu ibariki ISRAEL ,Mungu wabariki Wayahudi

BIBLIA TAKATIFU INASEMA SIKU ZA MWISHO,WAYAHUDI WATAUTAMBUA UKRISTO NA KUUFATA
Asante sana elimu hii. Ubarikiwe sana.
 
Hata Ibrahim hakua Mkristo wala Muyahudi !

Ibrahimu hakuwa myahudi wala mnaswara (mkristo), lakini alikuwa Mwislamu, mnyoofu na hakuwa katika washirikina(3:67 Quran)

Biblia inakuambia Ibrahim alikua DINI gani ?

Kama ukijua kwa mjibu wa biblia Ibrahim alikua dini gani basi swala la Jerusalem ni haki ya nani halitakupa shida.

Ila kwa sababu MAKAFIR ni watu wa dhurma toka kuumbwa kwa dunia wala mi sishangai.
 
Uislam ni dini anayoumvwa nayo binadamu. Na ndio maana akizaliwa anabatizwa yaani anatolewa kwenye uislam na kuingizwa kwenye uktmrusto a.k.a upagani. Ulikuwa hujui?
Unabisha?
Hebi angalia jinsi mtoto anavyokaa tumboni mwa mama yake utaina anakaa kiislamu.....anasujudu....
Kwahio ukikaa mkao wa kusujudu tayar usha kua Muslim?
 
Hata Ibrahim hakua Mkristo wala Muyahudi !

Ibrahimu hakuwa myahudi wala mnaswara (mkristo), lakini alikuwa Mwislamu, mnyoofu na hakuwa katika washirikina(3:67 Quran)

Biblia inakuambia Ibrahim alikua DINI gani ?

Kama ukijua kwa mjibu wa biblia Ibrahim alikua dini gani basi swala la Jerusalem ni haki ya nani halitakupa shida.

Ila kwa sababu MAKAFIR ni watu wa dhurma toka kuumbwa kwa dunia wala mi sishangai.
Ibrahim alikufa kabla ya Uislamu! Sasa sijui ni kwa namna gani alikuwa Muislam! Vitu vingine msimeze tu kama Makinda ya Mbayuwayu!
 
Ibrahim alikufa kabla ya Uislamu! Sasa sijui ni kwa namna gani alikuwa Muislam! Vitu vingine msimeze tu kama Makinda ya Mbayuwayu!
Mkuu huyo Ibrahim ndio maana anapakaziwa alizaa na kijakazi kwa kumzini ili kuupaka matope uislam. Wakati ukweli biblia inasema walikubaliana na mkewe na Mungu akaridhia hilo. Akamwoa Hajiri akawa mkewe tofauti na inavyosemekana alimzini. Akazaliwa Ishmael. Lakini mafundisho ya ukristo yanamponda mtoto Ishmael ili kuficha ama kukwepa ukweli kwamba Ishmael ndiye mtoto aliyetakiwa kuchinjwa......kwa mujibu wa maelekezo ya Mungu maana wakikiri Ishmael ndiye aliyetakiwa kuchinjwa wataupa credit uislam maana Ishmael ndiye aliyebarikiwa kushinda Isaka. Lakini kwa ubishi watu watakataa.
Na huyo Ishmael ndiye aliyekuja kuzaa makabila 12 ya wana wa Israel. Watu watapinga sana kwa sababu hawasomi maandiko.
Kama watabisha haya ninayoongea na mimi nitawavuruga kwamba Ibrahim alifanya vizuri kumwoa mjakazi Hajiri maana ni halali kwake na alifanya kosa kumwoa Sara maana ni dada yake! Ni kosa kumwoa dada yako!
 
Nimekuta ubishani wa nchi alozaliwa Yesu. Kwamba mji huu wa Bethlehem upo Israel au Palestine? Jibu sahihi ni kuwa Bethlehem IPO nchi ya Palestine ambako 95 % ni waislamu. Ni mji uliopo kusini mwa Jerusalem. Kama Bethlehem IPO mikononi mwa waislam, basi Jerusalem pia itaingia mikononi mwao. Hii ni ahadi katika zaburi na Qur'an.
Kwa hiyo Yesu ni Mfilisti?
 
Mkuu huyo Ibrahim ndio maana anapakaziwa alizaa na kijakazi kwa kumzini ili kuupaka matope uislam. Wakati ukweli biblia inasema walikubaliana na mkewe na Mungu akaridhia hilo. Akamwoa Hajiri akawa mkewe tofauti na inavyosemekana alimzini. Akazaliwa Ishmael. Lakini mafundisho ya ukristo yanamponda mtoto Ishmael ili kuficha ama kukwepa ukweli kwamba Ishmael ndiye mtoto aliyetakiwa kuchinjwa......kwa mujibu wa maelekezo ya Mungu maana wakikiri Ishmael ndiye aliyetakiwa kuchinjwa wataupa credit uislam maana Ishmael ndiye aliyebarikiwa kushinda Isaka. Lakini kwa ubishi watu watakataa.
Na huyo Ishmael ndiye aliyekuja kuzaa makabila 12 ya wana wa Israel. Watu watapinga sana kwa sababu hawasomi maandiko.
Kama watabisha haya ninayoongea na mimi nitawavuruga kwamba Ibrahim alifanya vizuri kumwoa mjakazi Hajiri maana ni halali kwake na alifanya kosa kumwoa Sara maana ni dada yake! Ni kosa kumwoa dada yako!
Ulichoongea hapa kiasi kikubwa ni Ubishi usio na Maana yoyote! Maandiko gani unayoyazungumzia? Wewe unasoma Quran ambacho Ni kitabu Cha Dini ya Kiislamu iliyoasisiwa Miaka 600 baada ya Kristo(Miaka milioni kadhaa baada ya Ibrahimu)! Ishmael Ni mtoto wa Mjakazi wa Sarah aitwae Hajiri! Ni Ruhusa ya Sarah baada ya kutopata mtoto kwa muda mrefu,akamwonea huruma Ibrahim akamruhusu Azae na Hajiri! Niambie kama Hajiri alilipiwa Mahari! Why? Kiburi cha Hajiri kwa Sarah ndicho kilichomtimua kutoka kwa Ibrahim! Angekuwa Mke halali asingetishwA na kufukuzwa na Sara, kwani angekuwa na potion yake kutoka kwa Mumewe!
Sara sii dada wa Ibrahim! Sijui kitabu gani kinachoku mislead hivyo!
Ishmael alibarikiwa na Mungu na alimilikishwa Jangwa la Arab! Moja ya Baraka hizo ni Mafuta! Ila sii Baba wa Makabila 12 ya Israel kwa kuwa Israel Ni Yakobo mwana wa Isaka(ambae anamwita Ishmael Baba Mkubwa)!
Ishmael hakuwa Mwislam (kwakuwa HAPAKUWA na Dini kipindi hicho)! Vizazi vyake vya baadae ndivyo vilivyokuja kuwa Waislamu (Mafundisho mengine ni Matangopori, ya kuwafanya mjione Bora kuliko wengine).
 
Back
Top Bottom