Tuweke bayana idadi ya wliojiandikisha kupiga kura Vyuo Vikuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuweke bayana idadi ya wliojiandikisha kupiga kura Vyuo Vikuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Faru Kabula, Oct 28, 2010.

 1. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Nimegundua moja ya mbinu za kuiba kura inaweza kuwa ni ile ya kutumia advantage ya kura zisizopigwa vituoni. Kutokana na idadi kubwa ya wanavyuo wa Higher Learning Institutions kuwa katika uwezekano mkubwa wa kutopiga kura, kuna possibility wezi wa kura wakatumia nafasi hiyo kuweka kura zao kwani idadi ya waliopiga kura haitakuwa katika tishio la kuzidi idadi ya waliojiandikisha. Kwa maana hiyo tunaweza kutrace possibility ya wizi iwapo difference itakuwa ndogo wakati katika hali ya kawaida difference inatakiwa iwe kubwa kwani wengi hawatapiga kura. Kwa kuanzia, naweka idadi ya wapiga kura waliojiandikisha katika baadhi ya vituo vya kura vya UDSM:


  1. Utawala-1 : watu 497
  2. Utawala-2 : watu 497
  3. Utawala-3 : watu 497
  4. Utawala-4 : watu 497
  5. Utawala-5 : watu 497
  6. Utawala-6 : watu 472

  Eneo la Cafeteria:


  1. DARUSO-1 : watu 468
  2. DARUSO-2 : watu 468
  3. DARUSO-3 : watu 468
  4. DARUSO-4 : watu 468
  5. DARUSO-5 : watu 468
  6. DARUSO-6 : watu 468
  7. DARUSO-7 : watu 468

  Baadaye nitarudi kuongeza vituo zaidi vya Chuo Kikuu UDSM katika maeneo yaliyosalia ya Shule ya Msingi Mlimani. Naombeni wengine wanaoweza kupita maeneo ya vyuo vikuu waweke idadi ya waliojiandikisha hapa.
   
Loading...