Tuwe wakweli jamani.Mtaani kwenu hali ipoje Iddi ya leo?

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Iddi mbaraka wapendwa,mkiona kimya mjue sina. Yaani jamaa akiendelea kama miaka mingine mitano tu, watanzania wote ni mbinguni bila kupingwa.
Leo mtaa wetu upo kimyaaaa!sisikii mlevi kuimba wala watoto na vijana kuelekea viwanja. Wote tuliii majumbani kwao wanacheki tv zao. Hakuna kelele yoyote,wameshiba wali mweupe na kifinyango Cha nyama au hata dagaa basi,hakuna soda,hakuna kualikana,kila mtu kwake.
Pongezi kwa hapa kazi tu.
 
mtaani kwetu kuko kimya balaa
 
Kitaa chetu kimedorora utadhani ni siku za kazi tena jumatatu, mpk nikawaza au ni hawa wenzetu wa imani tofaut mawe yamewapitia pembeni pangu pa kavu tia mchuzi, coz krismas mwaka mpya, pasaka zote kulikuwa na shangwe za kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom