Tuwe serious na uongozi wa nchi yetu

Nchi imeishiwa kila kitu ndo maana mambo kama hayo yanatokea.siku hizi nibora siku ziende.Ndo maana mimi sishangai nchi hili pamoja na ukubwa huu na rasilimali nyingi tulizonazo bado sisi ni nchi masikini.tatizo kubwa lipo kwenye aina ya viongozi.na aina hii ya viongozi inatokana na siasa zetu mbovu.na kwasababu ukishakua kwenye hizi siasa mbovu unaweza kua kiongozi wakati wowote ndo maana utaona kumekua na aina mbovu sana ya viongozi kwa miaka ya karibuni.sasa kwa hali hii usitegemee jambo jipya sana kama nchi zaidi ya viongozi wetu wakubwa kuja na misemo mbalimbali wanayoiita kauli mbiu ila ukija kwenye uhalisia hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom