Hiyo sasa tunamuonea...kwani yeye ndio anaviweka? Hata kuvikagua sio lazima yeye. Sema kwa taarifa hii subiri mtiti wake. Mkandarasi lazima achutame na anaweza kosa malipo yote yaliyobaki. Cheza na bashite wewe....sometimes yuko vizuri kwy kuwabana makandarasi rongorongo sema huwa hachagui maneno ukiingia kwy 18 zake. Utajuta kuzaliwa Tanzania.
kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini
Huyu mtu alieweka hiki kibao atakuwa amelipwa hela kwa kazi hii na aliemlipa alitakiwa akague sasa sijui hiki kibao kimegeuzwa na upepo? Kipo mtaa wa Ohio Dar.View attachment 647154