Nimetumia lugha as if sijui kwanini ila najua kwanini kiko hivyo. Hamna screw iliong'oka wamekiweka upside down sijui lengo lao, huwa napita hapo kila asubuhi, nitaleta picha ya karibu.
Yeahh...nimeona sasa Boss!Nimeandika hapo juu Ohio Street Dar es salaam
Watu wanaakili humu hadi shida!Sidhan kama hilo ni lengo lako. Lengo lako nahic ni kuwa upo ndan ya mchuma na unataka watu waseme. Boy unapenda attention
Kwa Enzi Za Magu Hata BIKE Unajilia Mzigo.kwani wadada wanafata magari?
Hilo Gari Sio Lako Umevizia Boss Kashuka Ukapiga Picha Kutambia Humu Ili Wadada Waje PM. Hilo Ndo Lengo La Uzi Wako. Samahani MKuu .[/QUOTE
umetoa makavu live mkuuππHilo Gari Sio Lako Umevizia Boss Kashuka Ukapiga Picha Kutambia Humu Ili Wadada Waje PM. Hilo Ndo Lengo La Uzi Wako. Samahani MKuu .
aisee
Boss akitaka utampa hapa hadharani?Unataka nini? Mgegedo?
Yaleyale ya hosteli ya udsm, utaambiwa mchochezi, ulitakiwa kupeleka taarifa kwa wahusika na si mtandaoni. Yaani hao wahusika hawaoni kabisaa, utadhani wao wanaishi Timor ya mashariki vile.Huyu mtu alieweka hiki kibao atakuwa amelipwa hela kwa kazi hii na aliemlipa alitakiwa akague sasa sijui hiki kibao kimegeuzwa na upepo? Kipo mtaa wa Ohio Dar.View attachment 647154
Muhusika simjui mkuu, hamna address kwenye hicho kibao.Yaleyale ya hosteli ya udsm, utaambiwa mchochezi, ulitakiwa kupeleka taarifa kwa wahusika na si mtandaoni. Yaani hao wahusika hawaoni kabisaa, utadhani wao wanaishi Timor ya mashariki vile.
Hapana, labda nawe hujanielewa pia! Kufikiri tena kwa haraka pia ni akili, mi usingekometi kwangu, nilikuelewa kwamba, umeonesha uzembe kwa mamlaka husika, kwamba kibao kimeharibika wao hawajali, "kila siku napita hapo" kwahiyo kila siku unakiona, ukasimamisha gari na bado tu hujagundua kwamba kamsumali kameachia kweli?Akili za kimasikini sio...
ushawala wangapi?Kwa Enzi Za Magu Hata BIKE Unajilia Mzigo.
Aisee...samahani mkuu....umepovuka kweli. Hilo jukwaa la picha huwa ni burudani tu hamna kitu chochote serious.Hapana, labda nawe hujanielewa pia! Kufikiri tena kwa haraka pia ni akili, mi usingekometi kwangu, nilikuelewa kwamba, umeonesha uzembe kwa mamlaka husika, kwamba kibao kimeharibika wao hawajali, "kila siku napita hapo" kwahiyo kila siku unakiona, ukasimamisha gari na bado tu hujagundua kwamba kamsumali kameachia kweli?
Komenti yako sasa inanionesha kwamba, nawe kimakosa ungeweza kufanya kosa kama hilo, ndo maana umeona ni la kibinadamu. Hakuna anayeweza fanya hivyo, na ataikitokea lisingekaa masaa hapo. Hayapo kama urembo hapo, wapo hawazitumii alama ila wapo ambao wanazitumia sana.
Sori, inawezekana kweli ni mawazo ya kimasikini kweli, kwakuwa mimi ni masikini kweli, unadhani ningewazaje.. Ila kipi ni kipimo cha utajiri na umasikini? Mi nikiwa na furaha ndio utajiri wangu, sa Sijui wengine utajiri wao ukoje.