Dar es salaamHiko kibao ni Tanzania mkuu?!
kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini
Shukrani Boss!!Dar es salaam
aiseeSiku hizi naviona sana vibao vya Stop bongo! Maendeleo.
kwani gari sh ngapi? ukimaliza chuo utanunua la kwako acha wivu mtoto wa kiumeSidhan kama hilo ni lengo lako. Lengo lako nahic ni kuwa upo ndan ya mchuma na unataka watu waseme. Boy unapenda attention
kwani wadada wanafata magari?Hilo Gari Sio Lako Umevizia Boss Kashuka Ukapiga Picha Kutambia Humu Ili Wadada Waje PM. Hilo Ndo Lengo La Uzi Wako. Samahani MKuu .
Nimetumia lugha as if sijui kwanini ila najua kwanini kiko hivyo. Hamna screw iliong'oka wamekiweka upside down sijui lengo lao, huwa napita hapo kila asubuhi, nitaleta picha ya karibu.kuna kitu hujaelewa..hiko kibao kilishikiliwa na misumari miwili
wa juu na wa chini
sasa wa juu ukaachia...ndo kikateremka kimebaki kushikiliwa na msumari wa chini