Tuwe na utaratibu wa kupima afya ya akili kama kigezo cha mtu kupewa au kugombea uongozi hapa nchini

Hili wazo nimekuww nalo kichwani mwangu kwa karibu miezi mitatu au minne sasa ila kadri siku zinavyoenda nazidi kupata msukumo wa kulileta hapa mtandaoni kama wazo au maoni yangu.

Nafikiri wakati umefika tujiridhishe na historia ya afya ya akili ya watu wanaotaka kushika uongozi katika nafasi mbalimbali hasa kama watu hao waliwahi kutumia madawa ya kulevya yanayoharibu au kuathiri akili za binadamu.

Vile vile kujua historia ya familia wanazotoka kama baadhi ya ndugu zake huwa wana matatizo ya afya ya akili ya kurithi n.k.

Kwa mfano kama inawezekana vipimo vya kitaalamu kuthibitisha mtu fulani aliwahi tumia bangi kilpindi fulani katika maisha yake basi mtu huyo azuiwe na sheria ikiwezekana hata na katiba kugombea au kuteuliwa katika nafasi yoyote ile ya uongozi.

Hata serikalini mtu unapotaka kuajiriwa huwa unatakiwa kuchunguzwa afya yako(medical examination) ambapo daktari hukufanyia vipomo na kukujazia form maalumu kuelezea juu ya afya yako tena huwa inasisitizwa vipimo vifanyike katika hospitali za serikali.

Binafsi napendekeza uchunguzi huu wa afya uhusishe mpaka afya ya akili ya mtu kwa wale wanaogombea uongozi au kwa wale wanaoteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

kwa kila anaegombea uongozi kuwe na form maalumu ya siri(separate form) kwa ajili ya madakari kujaza taarifa za siri za mgombea kuhusu afya yake ya akili na iwe ni kosa la jinai(na si la kiimadili tu) kwa dakari au mtu mwingine yoyote kutoa siri za mgonjwa.

Hili ni pendekezo langu mimi kama mimi ila wadau mbalimbali wakiwemo madaktari wa afya ya akili wanaweza kuliboresha but all in all something must be done.

Ni ushauri tu kwa nia njema.
Pascal Mayalla kuepuka yote uliosema wazo hili lililopo hapo juu likiboreshwa linaweza kutusaiadia ingawa huyo Bashite inawezekana sio kichaa bali inawezekana anaagizwa kufanya anayoyafanya.
 
hapo kwenye afya jamaa wako mwaka jana asingekatisha!
Ahahahaha.....kutoboa sio mchezo...labda wangefoji vyeti maana kama wana asili hiyooo.

Hivi aliwahi kulazwa bugando ward ya machizi 1980's ?

Mamaaaaaa....nimeropokwa sijui nissan nyeupe itanifuatilia....
 
Linchi linaongozwa hovyo kabisa.

Watanzania daini katiba mpya vinginevyo mtapata tabu sana
 
Kwa yanayotokea leo hii naamini sasa utakuwa umenielewa japo huwezi kukiri hadharani
daah kuna chizi namjua harafu yupo kitengo muhimu
Hili wazo nimekuww nalo kichwani mwangu kwa karibu miezi mitatu au minne sasa ila kadri siku zinavyoenda nazidi kupata msukumo wa kulileta hapa mtandaoni kama wazo au maoni yangu.

Nafikiri wakati umefika tujiridhishe na historia ya afya ya akili ya watu wanaotaka kushika uongozi katika nafasi mbalimbali hasa kama watu hao waliwahi kutumia madawa ya kulevya yanayoharibu au kuathiri akili za binadamu.

Vile vile kujua historia ya familia wanazotoka kama baadhi ya ndugu zake huwa wana matatizo ya afya ya akili ya kurithi n.k.

Kwa mfano kama inawezekana vipimo vya kitaalamu kuthibitisha mtu fulani aliwahi tumia bangi kilpindi fulani katika maisha yake basi mtu huyo azuiwe na sheria ikiwezekana hata na katiba kugombea au kuteuliwa katika nafasi yoyote ile ya uongozi.

Hata serikalini mtu unapotaka kuajiriwa huwa unatakiwa kuchunguzwa afya yako(medical examination) ambapo daktari hukufanyia vipomo na kukujazia form maalumu kuelezea juu ya afya yako tena huwa inasisitizwa vipimo vifanyike katika hospitali za serikali.

Binafsi napendekeza uchunguzi huu wa afya uhusishe mpaka afya ya akili ya mtu kwa wale wanaogombea uongozi au kwa wale wanaoteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

kwa kila anaegombea uongozi kuwe na form maalumu ya siri(separate form) kwa ajili ya madakari kujaza taarifa za siri za mgombea kuhusu afya yake ya akili na iwe ni kosa la jinai(na si la kiimadili tu) kwa dakari au mtu mwingine yoyote kutoa siri za mgonjwa.

Hili ni pendekezo langu mimi kama mimi ila wadau mbalimbali wakiwemo madaktari wa afya ya akili wanaweza kuliboresha but all in all something must be done.

Ni ushauri tu kwa nia njema.

Hili wazo nimekuww nalo kichwani mwangu kwa karibu miezi mitatu au minne sasa ila kadri siku zinavyoenda nazidi kupata msukumo wa kulileta hapa mtandaoni kama wazo au maoni yangu.

Nafikiri wakati umefika tujiridhishe na historia ya afya ya akili ya watu wanaotaka kushika uongozi katika nafasi mbalimbali hasa kama watu hao waliwahi kutumia madawa ya kulevya yanayoharibu au kuathiri akili za binadamu.

Vile vile kujua historia ya familia wanazotoka kama baadhi ya ndugu zake huwa wana matatizo ya afya ya akili ya kurithi n.k.

Kwa mfano kama inawezekana vipimo vya kitaalamu kuthibitisha mtu fulani aliwahi tumia bangi kilpindi fulani katika maisha yake basi mtu huyo azuiwe na sheria ikiwezekana hata na katiba kugombea au kuteuliwa katika nafasi yoyote ile ya uongozi.

Hata serikalini mtu unapotaka kuajiriwa huwa unatakiwa kuchunguzwa afya yako(medical examination) ambapo daktari hukufanyia vipomo na kukujazia form maalumu kuelezea juu ya afya yako tena huwa inasisitizwa vipimo vifanyike katika hospitali za serikali.

Binafsi napendekeza uchunguzi huu wa afya uhusishe mpaka afya ya akili ya mtu kwa wale wanaogombea uongozi au kwa wale wanaoteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

kwa kila anaegombea uongozi kuwe na form maalumu ya siri(separate form) kwa ajili ya madakari kujaza taarifa za siri za mgombea kuhusu afya yake ya akili na iwe ni kosa la jinai(na si la kiimadili tu) kwa dakari au mtu mwingine yoyote kutoa siri za mgonjwa.

Hili ni pendekezo langu mimi kama mimi ila wadau mbalimbali wakiwemo madaktari wa afya ya akili wanaweza kuliboresha but all in all something must be done.

Ni ushauri tu kwa nia njema.
 
Hapo kwenye bangi sikuungi mkono maana hata hao unaofikiri wako smart walishatumia
 
WAKIPIMA AFYA MUHIMILI WA BUNGE UTAYUMBA

MUHIMILI WA EXECUTIVE (RAIS) UTAYUMBA

KUBANA MATUMIZI WACHA TUISHI NAWAGONJWA HAWA TU

CHAMUHIMU KAA MBALI KIKIWAPANDA WANAWEZA KUFYEKA KAMA LISU
 
Hoja Mujara
Hili wazo nimekuww nalo kichwani mwangu kwa karibu miezi mitatu au minne sasa ila kadri siku zinavyoenda nazidi kupata msukumo wa kulileta hapa mtandaoni kama wazo au maoni yangu.

Nafikiri wakati umefika tujiridhishe na historia ya afya ya akili ya watu wanaotaka kushika uongozi katika nafasi mbalimbali hasa kama watu hao waliwahi kutumia madawa ya kulevya yanayoharibu au kuathiri akili za binadamu.

Vile vile kujua historia ya familia wanazotoka kama baadhi ya ndugu zake huwa wana matatizo ya afya ya akili ya kurithi n.k.

Kwa mfano kama inawezekana vipimo vya kitaalamu kuthibitisha mtu fulani aliwahi tumia bangi kilpindi fulani katika maisha yake basi mtu huyo azuiwe na sheria ikiwezekana hata na katiba kugombea au kuteuliwa katika nafasi yoyote ile ya uongozi.

Hata serikalini mtu unapotaka kuajiriwa huwa unatakiwa kuchunguzwa afya yako(medical examination) ambapo daktari hukufanyia vipomo na kukujazia form maalumu kuelezea juu ya afya yako tena huwa inasisitizwa vipimo vifanyike katika hospitali za serikali.

Binafsi napendekeza uchunguzi huu wa afya uhusishe mpaka afya ya akili ya mtu kwa wale wanaogombea uongozi au kwa wale wanaoteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

kwa kila anaegombea uongozi kuwe na form maalumu ya siri(separate form) kwa ajili ya madakari kujaza taarifa za siri za mgombea kuhusu afya yake ya akili na iwe ni kosa la jinai(na si la kiimadili tu) kwa dakari au mtu mwingine yoyote kutoa siri za mgonjwa.

Hili ni pendekezo langu mimi kama mimi ila wadau mbalimbali wakiwemo madaktari wa afya ya akili wanaweza kuliboresha but all in all something must be done.

Ni ushauri tu kwa nia njema.

Hoja Mujaraaab Sana hii! Naunga mkono sana tangu zamani. Rafiki yangu daktari wa afya ya akili aliwahi nieleza WATU WENGI HAPA TZ NI VICHAA INGAWA HAWAOKOTI MAKOPO BARABARANI.

Kuna degree kadhaa za ukichaaa! Ukiona Mtu anaokota makopo ujue imefikia hatua ya juu! Na dalili zipo za Mtu binafsi kujitathmini kama unaelekea kiwango cha juu cha ukichaa! Mathalani, Kucheka cheka bila sababu ya msingi, kujisonya au kuguna guna, kuongea peke yako barabarani, msongo wa mawazo uliopita kiasi, kutokuwa mtu mwenye furaha/ukali uliopita kipimo nk nk yanayofanana na hayo.
 
uliongea ukweli sana tu!! nawalaumu sana TISS. wanatupitishia wagonjwa kushika madaraka makubwa sana
 
Atayemchagua Lowassa akapimwe akili by mchungaji Msigwa sasa wale million sita sijui walishapimwa akili au unaona upande mmoja tu?
Upande upi?

Ila tunashikuru kwa sasa gharama haita kuwepo kwani wagonjwa wameanza kujitangaza adharani
 
Nafikiri ungeanza na fisadi lowasa, huyo ni mgonjwa wa akili perse na CCM wanamjua ndo maana wakamwaga, ni swala la muda tu kabla chadema hawajaligundua hilo!
Mbona huyu aliye jitaja mwenyewe hawakumjua? Na baada ya kujitaja wanafanya nini? Mbona wanaendelea naye?
 
Hili wazo nimekuww nalo kichwani mwangu kwa karibu miezi mitatu au minne sasa ila kadri siku zinavyoenda nazidi kupata msukumo wa kulileta hapa mtandaoni kama wazo au maoni yangu.

Nafikiri wakati umefika tujiridhishe na historia ya afya ya akili ya watu wanaotaka kushika uongozi katika nafasi mbalimbali hasa kama watu hao waliwahi kutumia madawa ya kulevya yanayoharibu au kuathiri akili za binadamu.

Vile vile kujua historia ya familia wanazotoka kama baadhi ya ndugu zake huwa wana matatizo ya afya ya akili ya kurithi n.k.

Kwa mfano kama inawezekana vipimo vya kitaalamu kuthibitisha mtu fulani aliwahi tumia bangi kilpindi fulani katika maisha yake basi mtu huyo azuiwe na sheria ikiwezekana hata na katiba kugombea au kuteuliwa katika nafasi yoyote ile ya uongozi.

Hata serikalini mtu unapotaka kuajiriwa huwa unatakiwa kuchunguzwa afya yako(medical examination) ambapo daktari hukufanyia vipomo na kukujazia form maalumu kuelezea juu ya afya yako tena huwa inasisitizwa vipimo vifanyike katika hospitali za serikali.

Binafsi napendekeza uchunguzi huu wa afya uhusishe mpaka afya ya akili ya mtu kwa wale wanaogombea uongozi au kwa wale wanaoteuliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

kwa kila anaegombea uongozi kuwe na form maalumu ya siri(separate form) kwa ajili ya madakari kujaza taarifa za siri za mgombea kuhusu afya yake ya akili na iwe ni kosa la jinai(na si la kiimadili tu) kwa dakari au mtu mwingine yoyote kutoa siri za mgonjwa.

Hili ni pendekezo langu mimi kama mimi ila wadau mbalimbali wakiwemo madaktari wa afya ya akili wanaweza kuliboresha but all in all something must be done.

Ni ushauri tu kwa nia njema.
Naunga mkono hoja

Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!. - JamiiForums
P
 
Back
Top Bottom