Omygad
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 632
- 278
buku 5 za nini mkuu?buku tano zipo huko?? maana hii njaa si mchezo
buku 5 za nini mkuu?buku tano zipo huko?? maana hii njaa si mchezo
Wapendwa habari za jioni,
Poleni na kazi za mchana kutwa,
Utakuta mtu anaishi na mume au mkewe hajawahi msifia mwenzi wake kuwa amependeza,mfano mke ametoka salon amejipamba vizuri anarudi nyumbani mume hamsifii hata kidogo,anaona kawaida tu.
Ila mwanamke yule akienda kazini kila mtu anamsifia kuwa umependeza sana,mumewe hajamsifia na hana hulka ya kumsifia mkewe.Utakuta mkewe huwa anamsifia sana mfano eee mume wangu umenyoa ndevu vizuri,
Hilo tisheti limekupendeza sana mme wangu,watu mlio na wapenzi wenu muwe na tabia ya kuwasifia kwa mambo mazuri wanayo watendea,usiku mwema🙂
buku 5 za nini mkuu?
Tatizo siku hizi mnajipamba kupendezesha watu wengine, sio waume zenu. Unavaa ukiwaza "watu watanionaje," na sio "mume wangu atanionaje "kusifiwa kuna ongeza kujiamini kwawatu jamani, utashangaa nje wanakusifu nyumbani umetoka hata ujaambiwa umependeza
Kwa sababu hao ndio uliowalenga, hakika watakusifia. Kabla Mumeo hajakuoa ulijipamba kuulenga moyo wake. Mumeo alikuoa kwa sababu kuna mambo yalimvutia kwako, ulipoingia ndani, ukaachana nayo, ukaanza kutumikia matakwa ya wengine ili wakusifie. Hii ndio namna nyepesi kabisa ya kuua moyo wa mumeo. Kila akikutazama hakuoni wewe, anaona mwanamke mgeni maishani mwake. Atabaki kujiuliza, yuko wapi mke wangu mpenzi niliyempenda? Na kama hutakuwa na busara, utatekwa kirahisi tu huko nje, ukijidanganya kuwa unatafuta faraja ya moyo wako.Mkuu unajisikiaje umetoka nyumbani hujasifiwa,unafika office unakutana na mtu anakwambia waaaaao umependeza sana🙂
Sifa zikizidii ni kerooo...Wapendwa habari za jioni,