Buntungwa
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 549
- 310
Wapendwa habari za jioni,
Poleni na kazi za mchana kutwa,
Utakuta mtu anaishi na mume au mkewe hajawahi msifia mwenzi wake kuwa amependeza,mfano mke ametoka salon amejipamba vizuri anarudi nyumbani mume hamsifii hata kidogo,anaona kawaida tu.
Ila mwanamke yule akienda kazini kila mtu anamsifia kuwa umependeza sana,mumewe hajamsifia na hana hulka ya kumsifia mkewe.Utakuta mkewe huwa anamsifia sana mfano eee mume wangu umenyoa ndevu vizuri,
Hilo tisheti limekupendeza sana mme wangu,watu mlio na wapenzi wenu muwe na tabia ya kuwasifia kwa mambo mazuri wanayo watendea,usiku mwema🙂