Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

1.Tatizo wasichana tunajenga mazingira ya kudanganywa tangu awali. Mwanaume ukimdanganya jambo moja na akagundua umemdanganya ujue wewe utadanganywa matano.

2. Wasichana wamekuwa wepesi sana kuwaamini hawa wanaume hivyo kuwahi kuanzisha mahusiano nao kabla hawajawaelewa.

3. Wanashindwa kutofautisha wanapopendwa kikweli na wanapotumiwa.

4. Wasichana wengi ni kama wanalazimisha penzi, yaani unaona kabisa mtu hakupendi ila kwa sababu moyo wako upo pale unaona hakuna mwingine.

Yaani mimi mtu akinidanganya siku hiyo najua kama ananidanganya. Ndani ya wiki tu nitajua hadi marital status yake labda kama sihitaji kumjua.

Huo mkwara mbuzi csta,sisi kudanganywa ni kama pai,usipodanganywa hutofurah hata kdg.
Tuombe serikali bada ya kuoa na kuolewa wagongwe mihuli sehemu fulani.

Pole sanadada,ushauri wangu nadhan itakusaidia kwa sababu i know well upo kwenye ctuation gan,najua maumivu ya mapenzi.4get,4give yupo aliyeandaliwa kukupa rill luv, ukikubali uke wenza utajuta kuzaliwa mwanamke,HAKUNA MTU MWENYE ROHO MBILI,NI MOJA 2.Utakubalije bac mtu kukwambia i lov u frm ma hat,ilhali yupo aliyekaa kwake?bac jamaa labda ana roho mbili!wat i know mapenzi yapo rohon.

Huo mkwara mbuzi csta,sisi kudanganywa ni kama pai,usipodanganywa hutofurah hata kdg.
Tuombe serikali bada ya kuoa na kuolewa wagongwe mihuli sehemu fulani.
Du kweli wapigwe mihuli tu naona itakuwa suluhisho

Similar Discussions

Back
Top Bottom