Tuwe Makini wasichana tutadanganywa mpaka lini??

Pole dada. Ila la mke wa pili sikushauri. Maana hapa sisi tuko wawili yani husband na wife bado songombingo; sasa nambie muwe na uhusiano wa watu watatu; mume mmoja wake wawili; si kutafuta maradhi huko dada maana hapo ina maana umemuamini mume wako na mke mwenzio.

Mwache mwenzio apate ndoa naye. hata kama atakua mke wa saba, cha muhimu atimize azma yake ya kuolewa.
 
Baba enock niliamua kum surprise ile ya kimahaba, na nikijua yuko ofisini coz asubuhi na mapema alinipigia kwa landline kwa hiyo nisingewaza namfumania ofisini, pia ilikuwa ya kimahaba bila kuwaza lolote, swali kwako, kwa nini unafikiri alinidanganya? alidhani akisema ameoa ningemkataa au ni kitu gani alikuwa anawaza, kwa maoni yako tu

Ulistahili ulichokipata
 
1.Tatizo wasichana tunajenga mazingira ya kudanganywa tangu awali. Mwanaume ukimdanganya jambo moja na akagundua umemdanganya ujue wewe utadanganywa matano.
2. Wasichana wamekuwa wepesi sana kuwaamini hawa wanaume hivyo kuwahi kuanzisha mahusiano nao kabla hawajawaelewa.
3. Wanashindwa kutofautisha wanapopendwa kikweli na wanapotumiwa.
4. Wasichana wengi ni kama wanalazimisha penzi, yaani unaona kabisa mtu hakupendi ila kwa sababu moyo wako upo pale unaona hakuna mwingine.
Yaani mimi mtu akinidanganya siku hiyo najua kama ananidanganya. Ndani ya wiki tu nitajua hadi marital status yake labda kama sihitaji kumjua.

Watu kama nyie ndio rahisi sana kudanganywa. Huenda hapo ulipo umeshadanganywa mpaka basi.
 
nimeisoma hii story yote..mwanzo umeanza vizuri kabisa ila hapo chini inaonekana hii story ni fabricated........sio wewe na wewe kama wewe hujakutwa na haya masaibu......anyway unawapa somo zuri
<br />
<br />
labda ungefanunua nini kimekufanya uione hii story ni fabricated, si vizuri kuropoka tu katika issue sensitive zinazogusa maisha ya watu.
 
nimeisoma hii story yote..mwanzo umeanza vizuri kabisa ila hapo chini inaonekana hii story ni fabricated........sio wewe na wewe kama wewe hujakutwa na haya masaibu......anyway unawapa somo zuri
<br />
<br />
labda ungefanunua nini kimekufanya uione hii story ni fabricated, si vizuri kuropoka tu katika issue sensitive zinazogusa maisha ya watu.
 
OOOOOOOOoohh!! hivi ni vitu vidogo tu saraM. mke mmoja siku zote ni tatizo wewe cha msingi kubali uwe wa pili nakwambia utashangaa. hiyo ni heshima kubwa dhili yako, mara nyingi anaeumia hapa ni mke wa kwanza ila naye baada ya muda mambo yanakaa sawa tu. ingia tena usivue viatu we pita tu. ila yule mwengine naye vipi?? Mr. M
 
OOOOOOOOoohh!! hivi ni vitu vidogo tu saraM. mke mmoja siku zote ni tatizo wewe cha msingi kubali uwe wa pili nakwambia utashangaa. hiyo ni heshima kubwa dhili yako, mara nyingi anaeumia hapa ni mke wa kwanza ila naye baada ya muda mambo yanakaa sawa tu. ingia tena usivue viatu we pita tu. ila yule mwengine naye vipi?? Mr. M

duh heri kuwa hawara kuliko kuwa mke mdogo maana shari lake kubwa
 
Pole!But sijui anakuomba uwe mke wa pili kwa mujibu wa nini,dini au utashi wake!Kama ni dini utaamua mwenyewe but apart from that sijawahi ona mahusiano yaliyo sawa ya wake wawili na haijawahi tokea yakawa na usawa!
 
Hus ni kweli. Ni rahisi sana kumchunguza mpenzi wako pale mnapoanza mapenzi kwani huwezi kupenda na kumzimikia mtu ghafla kwa maana ya kuingia kichwa kichwa. Muda wa mwanzo mwanzo wa uhusiano kila mtu anakuwa amekaa kimachale machale.

Ila ndio hivyo kuna watu hawawezi kujifunza mpaka wakosee (learners through mistakes) na kuna wengine wanajifunza kutokana na makosa ya wenzao (learners through other's mistakes) which is a best way to learn.


Nyumba Kubwa...thanks for this

My only problem ni kwamba wengine wanakuwa too cautions kiasi wkamba wanamistake a genuine relationship na hizi za kimazabe mazabe....the fact is...kwa baadhi yetu tunapokuapproach tunakuwa tumeshafanya some decisions kwamba huyu ndiye, sasa bahati mbaya kama unakuwa umetokea kwenye hali kama hii, inakuwa rahisi 'kumfukuza' yule anayekupenda kwa dhati. Madhara yake ni kwamba unakuwa umepoteza nbahati nyingi kwa hili, na sometimes wengine huwa haturudi nyuma hasa baada ya kufanya kila juhudi....of course kwa kukubaliana na 'ukweli' kuwa pengine hupendeki so why hang on? nadhani umenipata walao ama nimejikanyaga kanyaga (hasa akiwepo lovebird wangu AshaDii akili huwa hainikai sawa)
 
Wawe makini kivipi Dada angu? Huwezi kumjua mtu Eti pale tu atakapokuja kwa mara ya kwanza, ujue huyu huko hvi au vile. Kinachotakiwa hapa ni wewe kuwa na msimamo wako.sikushaur uje kuw mke wa pili ,achana nae mana bado hajakuletea effect kubwa kam vle Mimba,ambyo inawez kukufany ukakae naye.. Kwa Dunia ya leo wake wawil ni Ugomv ambao hutawez kuhimil kam una moyo mwepes. Ni hayo tu sisy angu na pole sana kwa yaliyokukuta.

Mhhhhhhhhhhh! Yaani mimba watu ndo wanaona kuwa ni effect kubwa sana kwenye mahusiano!!!! Sijui kwanini wengi wanawaza hilo na kulipa uzito mkubwa zaidi ya magonjwa mengine yanayoendana na mahusiano. Haya bwana ngoja nipitilize hadi bafuni mie maana jasho lantoka mie.
 
Nashukuru wana jf kwa makaribisho mazuri,
hivi inakuwaje mwanaume anakuwa muongo anakudanganya for two years kwamba hajaoa, then unakuja unagundua kaoa ,ana mke na watoto
Mie nimedanganywa na sasa niko kwenye maumivu makali ili niweze kuendelea na maisha,nilikutana nae chuoni yeye anasoma masomo ya juu zaidi yangu, akasema yuko single na mipango yote ya kuoana tukimaliza chuo alikuwa ananiambia.

Yeye alitangulia kumaliza lakini alikuwa anasafiri anakuja kuniangalia chuoni, baasi nilipomaliza kwa vile tunakaa mikoa tofauti nikaamua kumzukia kwa suprise huko anapoishi, nilienda nilipofika mojakwa moja hadi ofisini, kastuka sana, tukatoka nikajua napelekwa kwake akaishia hotelini, jioni alipokuja ndio akanimwagia hilo shuzi, eti sorry,hivi kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki?nawaasa wasichana wenzangu wawe makini sana na hawa wenzetu kwani sio kila kitu wanachosem ni kweli....sasa nikaamua kukatisha mawasiliano kabisa kwa kipindi kirefu kiasi
juzjuz kaja na mpya kaniomba anioe mke wa pili kwamba hawezi ishi bila mimi, marafiki zangu wanavutana wengine wanasema nikubali na wengine wanasema niendelee na msimamo wangu, je wewe mwana jf mwenzangu unasemaje?????

Hivi kama angekwambia mwanzoni kuwa ana mke na watoto ungemkubalia? Kama jibu lako ni ndiyo, basi kubali uwe mke wa pili, lakini kama jibu ni hapana sikushauri ukubali kuwa mke wa pili. Lakini pia kama dini yako inaruhusu sioni shida iko wapi hasa kama dini yako na ya huyo mke mkubwa zinafanana.

lakini kina dada naomba pia niwashauri. Kwa sasa una maumivu ya kujua ukweli ila, utakuwa umejidhalilisha kama pamoja na kuweka ukweli huu utaendelea kushirikiana naye kimapenzi. Maana isije ikawa hasira za kukosa kuolewa then baadae unaamua liwalo na liwe, acha uendelee kulichuna buzi, teteteeeeeeeeeee!
 
Watu kama nyie ndio rahisi sana kudanganywa. Huenda hapo ulipo umeshadanganywa mpaka basi.

Mhhhhhhhhhhhh! so bdo una bikra wewe? Kama haipo basi kwishne wewe, na kama una huo ujanja/uzoefu basi baada ya watu kuwa wamejisevia kwa sana ndo umekuja ujua ukweli. Infact you have a good experience of men,after they have exploited and probably enjoyed your sweetiness
 
duh heri kuwa hawara kuliko kuwa mke mdogo maana shari lake kubwa
mwache asubiri awe mke wa kwanza wakati na watu tayari wanajua kuwa alishawahi kuwa na mwanamme. hata sisi wanaume tunapenda tuwe wa kwanza kwa mwanamke sio yeye tu! sasa yeye atakuwa wa ngapi. na siajabu watu pia wana taarifa kuwa huyo si mwanamme wa kwanza kwa ndugu yetu saraM .aendelee kusubiri tu bana ila na yeye pia alishaharibu kwa upande wake. angelisubiri kabla kula maraha na hao vijamaa. duuuuuu
 
Ushauri kwa wadada:
1. sio kila urafiki wa mapenzi lazima uishie kwenye kuoana,
2. Ingekuwa 1 hapo juu ni sahihi, basi maneno mabuzi na vicheche visingekuwepo,
3. Mwanaume anapokutongoza usitangulize maneno, 'nataka kuolewa sitaki kuchezewa,
4. Kama mwanaume humtaki na wala huna haja ya hata kumfanya rafiki yako wa kawaida, usijenge mazoea ya kuonana naye,
5. Unapohisi mwanaume amekuvutia na anaweza kuwa mpenzi wako, mpe masharti ya kufuata ili akuhakikishie kuwa atakuoa, lakini wakati hu huo ujue nafasi yako katika uhusiano huo. Usije ukamkubalia kusex eti kwa sababu ameonyesha nia ya kukuoa kwa hiyo ili afurahi basi ni bora umuonjeshe,
6. Kununuliwa vitu vizuri vya thamani sio uthibitisho kwamba wewe ni mke wake kama bado hamjaenda mbele ya DC, shekhe, mchungaji au Paroko/padri,
7. kama humtaki usichukue na vitu/zawadi anazokupa. Ikiwa mwanzoni ulimwambia humpendi, na mwanaume akachukulia hivyo lakini wewe ukaendelea kumtumia kwa ajili ya kupata mahitaji yako, ni sawa na kujidhalilisha hivyo lazima mwanaume awe ameoa au lah, atahakikisha gharama zake zilete dividends.

Nilichungulia kidogo tu, naenda zangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom