Ofisini kwetu kumefanyika mchakato wa scheme of services so watu wamepanda madaraja na mishahara kutokana na sifa zao...but Msala umewakumba wale wenye baadhi ya vyeti vya CHEMWALI College..maana katika mchakato havijawa considered..kama ndo alisomea advance diploma..basi katika mchakato kimehesabiwa cha nyuma yake imagn so hiko ni hewaaaaaaaaa...TUWE MAKINI kwa watoto wetu na Wadogo zetu ambao bado wako kwenye hatua za kusoma